Man who jumped off Mabirizi complex is dead

hata kama ukosefu wa kazi ndo ujinyonge mkuu gazeti la mikasa hili ingia hata millard ayo


kwanini ujiue lakini?
Kafa kifo kibaya sana chenye maumivu..Mungu atuepushe na hili balaa
 
SASA MBONA HAMNA PICHA YA MAITI HAPO JUU????
WEKA PICHA

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Watu bado hawakomi tu na hii ishu ya kusomesha msichana!
 
Angesubiri kwanza zamu yake ifike
 
asilimia kubwa,wadada si wa kuwaamini asilimia 100 wengi mna machozi ya kinafiki,kikubwa ni kuwapiga mashine kisawasawa bila huruma hata wakiondoka wanarudi la sivyo mtawasomesha weeeeeh mtawanunulia zawadi weeeeeeeee mwisho wa siku akipata mtaalamu wa kutwanga na kupepeta lazima aondoke kataa ila ukweli ndo huo
 

Mungu Ailaze Roho Yake Mahali Pema Peponi Ameen..
Kiukwel Jamaa alikua na penz la dhat kwa huyl bint ambae amemtenda lkn yote maisha kuna maisha baada ya Kifo.Ila Pia hakika huyo dada lazima atakuja umizwa moyo kama alivyo mfanyia mwenzie.THAT IT.LOVE LOVE LOVE LOVE LOVE has ruined the WORLD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…