Labla kupatwa kwa juasijui kwa hili tukio tutasema ni kazi ya Mungu haina makosa au tusemeje!
sawamhhh usiniombee nivae huu uhusika mimi siwezi kujinyonga iwe kwa lolote maisha matamu
Superman? [emoji1][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji30]...aiseeh Sir God anawaona waliombatiza ilo jina la SUPERMANPic hii apa
Si wote.
Am a lady,
Sijawahi kusikia wala kuona akusomeshe mwanamke wao wanapenda kupewa tuKwani wanawake hawasomeshi?