Man who jumped off Mabirizi complex is dead

hata kama ukosefu wa kazi ndo ujinyonge mkuu gazeti la mikasa hili ingia hata millard ayo


kwanini ujiue lakini?

Watu tumetofautiana uwezo wa kushughulika na changamoto zetu....
Kila mmoja hufanya maamuzi kwa kadri anavyoona inamfaa yeye kama yeye.....bahati mbaya watu wengi wanayaficha matatizo yao....
 
hili limetokea majuzi tu USISOMESHE MCHUMBA PLEASE UTALIA

Ogopa sana kuambiwa maneno haya,utasomeshaje mpenzi ikiwa ana wazazi wake?kinachotakiwa subiri mzae usomeshe watoto that's it.vijana wa siku hizi wanakosa upeo wa kupambanua mambo na hata wakiishakuwa wamekosea wanafanya ujinga usioelezeka.
 
Inabidi hilo jumba,liwekewe mlango wa chuma ,na kufungwa mda wote,kwenye ngazi inayokwenda juu fhorofa ya mwisho,na kama kuna lifti pia kuwekwe mlango wa chuma kwa lift ya mwisho,ya juu.
hahahahahahahahah maajabu. mtu inawezaje kufa kwa ajili ya mutu ingine
 
Mkuu Kikulachochako umenena vyema . thanks sana
 
Sasa huyo jamaa alipodhamiria kujiua kwa nini asingehakikisha haangukii kwenye magari ya watu. Mwisho wa siku kafa kawaacha watu wasihusika na hasara..
 
It is advisable to provide academic support to your spouse but never do the same to your fiancee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…