Man who jumped off Mabirizi complex is dead

Man who jumped off Mabirizi complex is dead

RUCCI

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2011
Posts
1,701
Reaction score
1,714
latest002+pix.jpg


Mwanaume aliyejirusha kutoka juu ya ghorofa la Mabirizi Complex katika jiji la Kampala amefariki dunia.

Mwanaume huyo aliyefahamika kwa jina la Kalule Mustafa mkazi wa Kawape amefariki katika hospitali ya taifa ya rufaa ya Mulago.
=========
The man who fell from the rooftop of Mabirizi complex in Uganda's capital Kampala has died in hospital.

The man, identified as Kalule Mustafa, a resident of Kawempe was seen on the roof top of the six storied building before suddenly jumping with his arms spread out to the shock of onlookers who were still trying to make out why he was a top the building.

Mr Paul Kangave, the deputy Kampala Metropolitan police spokesperson, said Lule passed on last night at Mulago National Referral Hospital where he had been admitted.

“The man the police rushed to Mulago Hospital on Saturday after jumping from the top of Mabirizi Complex has succumbed to injuries," Mr Kangave said.

Police said it was still investigating to the case but there were uncoordinated accounts with some people claiming to be his friends saying he had developed a misunderstanding with his wife.

Kalule’s incident was the second one to happen at the same building in the last nine months.


Source: Daily Monitor
 
Inabidi hilo jumba,liwekewe mlango wa chuma ,na kufungwa mda wote,kwenye ngazi inayokwenda juu fhorofa ya mwisho,na kama kuna lifti pia kuwekwe mlango wa chuma kwa lift ya mwisho,ya juu.
 
  • Thanks
Reactions: MTK
af kumbe jamaa hakufa pale pale sababu alidondokea gari asee,,
 
Jamaa alijinyima na kukubali kushinda na njaa mradi tu amsomeshe mpenzi wake baada ya kumaliza mpenzi wake huyo kampiga chini
jamaa kajirusha toka ghorofani na kufa hapo hapo Haya mapenzi VIJANA MSISOMESHE WAPENZI AU MCHUMBA MTALIA





BORA WANAUME TUONEKANE TUNA ROHO NGUMU
 
Atakuwa karidhika hupo alipo mana ndio ilikuwa nia yake.
R.I.P
 
Nimeiona dah kwa kweli inasikitisha wadada kiweni na huruma
 
Huyo atakuwa moja ya zile kabila zilizotajwa katika bible,

Mapenzi yamekuja Kama sababu tu!

Kujiua ilianza zamani ni aina flan ya pepo likikupata.
 
Huyo atakuwa moja ya zile kabila zilizotajwa katika bible,

Mapenzi yamekuja Kama sababu tu!

Kujiua ilianza zamani ni aina flan ya pepo likikupata.

duuuh hapo kwenye pepo kidogo panakuja ila kwa akili ya kawaida nijiue kisa kaniacha siwezi SIJUI UNAJISHUSHA THAMANI KIVIPI mpaka unaona ni mwisho wako kweli inaingia akilini hiii
 
duuuh hapo kwenye pepo kidogo panakuja ila kwa akili ya kawaida nijiue kisa kaniacha siwezi SIJUI UNAJISHUSHA THAMANI KIVIPI mpaka unaona ni mwisho wako kweli inaingia akilini hiii
Haiingii akilini kabisa hiyo. Vitu vingine ni ujinga tu.
 
Watu tunasomesha na tunaacha au kuachwa,

Huyo kakumbwa na pepo kipindi ana stress!
mkuu umelifanya kweli? kama ni hadithi usiseme mwenzio kafariki juzi tu hata kuzikwa bado mapenzi yanahitaji umakini sana
HATA KAMA PEPO HILI LIMEZIDI

kwanza kwanini usomeshe mpenzi??? mpaka kunyima kula??
 
Wahenga walipata kusema kuwa KAMWE HAUWEZI KULA MUWA BILA YA KUKUTA FUNDO....maana yake ni kuwa matatizo ni sehemu ya maisha na njia pekee ni kupambana nayo na sio kuyakimbia....

Lazima tutambue kuwa maisha ni safari ndefu sana....na sio kila muda katika maisha mambo yatakuwa jinsi ambavyo sisi tunataka yawe......sio kila wakati tutapata matokeo mazuri ya kile ambacho tumekikusudia la hasha....lakini hiyo haiwezi kuwa sababu ya sisi kuvunjika moyo na hata kujidhuru......
Kwani pamoja na hayo magumu tunayopitia bado muumba ametujaalia uhai na afya kama nafasi ya kujaribu tena na sio kujitoa uhai......
Kujitoa uhai ni kuidhurumu nafsi yako.....kwa kuwa wengi wapo kama wewe lakini wamechagua kupambana na hali zao......

Hata wale unaowaona barabarani wakiwa na nyuso za furaha si kwa kuwa mambo yao ni mazuri la hasa bali wameamua kupambana na hali zao.....
7fd4beaab51dd6363a18520b93dc990a.jpg
 
sijui kwa hili tukio tutasema ni kazi ya Mungu haina makosa au tusemeje!
 
Haiingii akilini kabisa hiyo. Vitu vingine ni ujinga tu.
mimi nadhani watu kama hawa wanakuwa wametegemea makubwa hasa kusaidiwa kimaisha inapotokea anakataliwa anaona keshavurugwa lakini bado utamtegemeaje mwanamke akuinue kiuchumi?
 
Kuna Utofauti mkubwa sana kati MVULANA na MWANAUME
 
Back
Top Bottom