VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,137
- 17,908
Manchester United imerejea kileleni mwa EPL kwa tofauti ya points tatu baada ya ushindi wake wa bao moja dhidi ya Fulham.Bao hilo pekee lilifungwa na Wayne Rooney muda mchache kabla ya mapumziko.Wakati huohuo,Chelsea leo itajitupa uwanjani ugenini kupambana na Benfica katika mechi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya robo fainali.Ramires na David Luis watarudi kwa mara ya kwanza uwanja wa timu yao ya zamani tangu kujiunga kwao na Chelsea..