Manabii na mitume; hamna muujiza wowote wa maji?

Bongo movieπŸ˜‚
Your browser is not able to display this video.
 
Toa sadaka ya kujinenea kwanza upate maji πŸ˜€πŸ˜€
 
Umewaza
 
Imeandikwa usimjaribu bwana Mungu wako.
 
Juzi kachimba kifusi shambani kwake kaenda wauzia waumini wake 😝
Mwamposa kwani anasemaje?
Anauza kifusi...
Vipi unahitaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…