Benjamin10
JF-Expert Member
- Dec 31, 2016
- 409
- 598
Habari za muda huu wakuu,
Naomba niende kwenye maada husika. Mimi ombi langu kwa serikali ni kua wale manabii wanaouza maji ya upako wasajiliwe na mamlaka za maji (EWURA) ili na wao walipe kodi vivyo hivyo mafuta nao, maana hiyo imekua ni biashara kubwa watu wanatumia shida zetu kujinufaisha.
Hii itachangia kupunguza manabii wengi wa uwongo.