Benjamin10
JF-Expert Member
- Dec 31, 2016
- 409
- 598
Mawazo yamegongana.. huenda nilichelewa kuwasilisha wazoUmecopy speech ya William Ruto ambaye Ni rais wa nchi ya Kikristo tofauti na Tanzania ambayo ni chi secular.
Biashara zote za kanisa zinalipa kodi serikalini. Wanachosamehewa ni taxi exemption kwa zile direct service za kuhudumia watu bila faida ila sio biashara.Umecopy speech ya William Ruto ambaye Ni rais wa nchi ya Kikristo tofauti na Tanzania ambayo ni chi secular.
Umeamua kuwa mfuasi wa Rutto sio!Habari za muda huu wakuu,
Naomba niende kwenye maada husika. Mimi ombi langu kwa serikali ni kua wale manabii wanaouza maji ya upako wasajiliwe na mamlaka za maji (EWURA) ili na wao walipe kodi vivyo hivyo mafuta nao, maana hiyo imekua ni biashara kubwa watu wanatumia shida zetu kujinufaisha.
Hii itachangia kupunguza manabii wengi wa uwongo.
KumbeeeUmeamua kuwa mfuasi wa Rutto sio!
Maana Rais wa kenya ndio alitoa hili agizo hivi majuzi huko nchini kwake
Duuh hiyo saaafiii wafanya biashara wameamua kukimbilia hukoSIO KODI TU. MPAKA EWURA,TBS, ISO INAWEZA KUFIKA KIMATAIFA, TCRA MATANGAZO.