Manabii wanaouza maji na mafuta ya upako nao waingizwe kwenye system walipe kodi

Benjamin10

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2016
Posts
409
Reaction score
598
Habari za muda huu wakuu..

Naomba niende kwenye maada husika. Mimi ombi langu kwa serikali ni kua.. Wale manabii wanaouza maji ya upako wasajiliwe na mamlaka za maji (ewura) ili na wao walipe kodi.. vivyo hivyo mafuta nao ... maana hiyo imekua ni biashara kubwa watu wanatumia shida zetu kujinufaisha..

Hii itachangia kupunguza manabii wengi wa uwongo..
 
Wasiishie hapo tu, wanauza rozari na Biblia pia walipe kodi kama wauza vitabu wengine wanavyolipa.

Na ile Divai kwa sababu ni pombe kwanza isajiliwe TBS na ilipiwe kodi ya vileo.
 
huo ndio ukirito serikari awezi ingilia imani za watu hacha watu wanywe kikombe cha babu loliyondo wachungaji wanatajirika waumini njaa kali wajinga ndio waliwao
 
Naunga mkono hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…