Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
Uzuri ni kwamba nchi hii watu wanapenda starehe sana yani ukizunguka kila mkoa kupiga show hata akiweka 20000 watu wana jaa maana wanampenda!
Wewe umetumwa sio bure, maana kama ni kulelewa hata yeye kapitia kwa watu wawili waliomlea hata hapa hupo uzi unaozungumzia hilo.( rejea mama wa bss na yule wa london alikoibiwa )
Hata ange anzia hapa Dar aka andaa show kam ya Jide pale mlimani city! Sio kila leo escape one lazima ajifunze kujibrand na aache kupiga show mbuzi!Yani najiuliza huu upepo wa aje uliokuja kwa jinsi promo ambayo timu lipstiki waliifanya kama Kiba angekuwa anajielewa aisee angezunguka huko mikoani.. Angepiga hela nzuri sana!! Lakini mpaka mpaka Aje ineanza kuchuja lakini mwenyewe wala hashtuki kila jioni yuko jangwani anasukuma kandanda..
Asante...Hakuna ninachokipinga usiitilie maanani hiyo komenti yangu.
Hakika hiyo ndio akili fursa ikija unaitumia! Hata kama ukiwa na sauti nzuri kama hufanyi show ni bure kabisa!Okay, naona kaenda kuwa Ndi Ndi Ndi wabunge.
Hakika hiyo ndio akili fursa ikija unaitumia! Hata kama ukiwa na sauti nzuri kama hufanyi show ni bure kabisa!
Hivi Alikiba huwa haoni aibu?
Bora iwe hivyo maana uwezi amini hata hizo showa mbuzi tuu hapigi na unaweza kushangaa anazidiwa hadi na wakina Shilole , Snura kupiga show...Probably this time atatoka na atafunika baada ya kupata mkataba mnono wa Sony.
He is going big this time around.
Kumbe anavizia usajili Yanga!? Basi msimshangae sana mwenzenu labda muziki kwake ni burudani tu.Yani najiuliza huu upepo wa aje uliokuja kwa jinsi promo ambayo timu lipstiki waliifanya kama Kiba angekuwa anajielewa aisee angezunguka huko mikoani.. Angepiga hela nzuri sana!! Lakini mpaka mpaka Aje ineanza kuchuja lakini mwenyewe wala hashtuki kila jioni yuko jangwani anasukuma kandanda..
Kumbe anavizia usajili Yanga!? Basi msimshangae sana mwenzenu labda muziki kwake ni burudani tu.
Hivo vitu ndio vinazidi kumfelisha,yaani huwafanyi mashabiki kuwa na hamu na wewe wakikutaka kukuona wanakukuta sehemu fulani,hata ukifanya shoo hakuna mwenye haja kukuona na hata kama utawapata si kwa kiwango kinachotakiwa.Yani najiuliza huu upepo wa aje uliokuja kwa jinsi promo ambayo timu lipstiki waliifanya kama Kiba angekuwa anajielewa aisee angezunguka huko mikoani.. Angepiga hela nzuri sana!! Lakini mpaka mpaka Aje ineanza kuchuja lakini mwenyewe wala hashtuki kila jioni yuko jangwani anasukuma kandanda..
Mimi ninge mshauri Alikiba aachane na mziki kabisa...Hahahah!! Ali needs to change kama kweli anataka awe kingi..
Nalazimika kukubakiana na Ruttashobolwa kuwa inawezekana Seven anajituma sana lakini ndo hivyo tena Kiba umwinyi umemjaa
Ni bora ange fanya kazi ya kucheza mpira tuu!Hivo vitu ndio vinazidi kumfelisha,yaani huwafanyi mashabiki kuwa na hamu na wewe wakikutaka kukuona wanakukuta sehemu fulani,hata ukifanya shoo hakuna mwenye haja kukuona na hata kama utawapata si kwa kiwango kinachotakiwa.
Sio wa Aje tuu nyimbo zake zote ni Almasi lakini ukitaka kujua kuwa Alikiba ni tatizo angalia hoja za mashabiki zake mtu anauliza eti michael Jacksoni anafanya show ngapi kwa mwaka!
Alikiba alikuwa ana fursa ya kuzunguka kila Mkoa akapiga pesa sio kukaa chumbani na kujii King ....
Ukimtoa Kiba mashabiki pia ni tatizo nilitegemea kuwa wata unga mkono kuhakikisha Kiba ana badilika!Mkuu hebu muulizeMichael. Alikuwa anauza copy ngapi kwa mwaka?MJ japo amekufa lakini bado mauzo ya copy zake yapo juu kuliko wasanii wote wa bongo kwa ujumla wao!!kumbe Kiba anaangushwa na vitu vingi aisee!hadi mashabiki wake.
Wewe unadhani Dr Ricky anaweza kuwa kocha au Shaffi Dauda akipewa yeye Uenyekiti wa Simba ataweza? Kuosha mdomo na kutenda ni vitu viwili tofauti
Pia ni kijana mjinga mjinga ..Alikiba ni slow learner period ...
Rockstar4000 wamekuwa wakimuandalia show Jide na sasa tarehe 4 yuko Dom! Wote Jide na Kiba ni management moja .....sasa inakuwaje washindwe kumuandalia show?Umeandika kitu nilichotaka kukiandika muda ila nikakosa maneno ya kutumia.
Hata kwenye hili swala tunalopigia kelele Kiba afanye shows, sidhani kama hapendi kufanya, ukute fitna, bajeti, au vikwazo vikwazo vinasababisha yeye kushindwa, na pia matarajio yanakuwa makubwa sana kulinganisha na nguvu aliyoitumia halafu watu wanaoingia wanakuwa siyo kiviile maana wabongo nao tuko vizuri kuongea wakati sapoti kamili hatutoi.