Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
Yani najiuliza huu upepo wa aje uliokuja kwa jinsi promo ambayo timu lipstiki waliifanya kama Kiba angekuwa anajielewa aisee angezunguka huko mikoani.. Angepiga hela nzuri sana!! Lakini mpaka mpaka Aje ineanza kuchuja lakini mwenyewe wala hashtuki kila jioni yuko jangwani anasukuma kandanda..
Uzuri ni kwamba nchi hii watu wanapenda starehe sana yani ukizunguka kila mkoa kupiga show hata akiweka 20000 watu wana jaa maana wanampenda!