Management ya Ali Kiba ni mbovu! Imekosa vision na innovation

Wanasema nafasi haiji mara mbili! Wakati ana rudi na ule wimbo wa Mwana alikuwa na nafasi wa kutengeneza pesa nyingi sana kupitia ule wimbo lakini cha kushangaza aliishia moshi tuu! Huwa najiuliza Alikiba ana shida gani?
 
Unachokisema ni kweli wanaweza wakawa na mipango mingine, lakini wakati huo wameshakosea timing.
 
Actually, ukisoma vitu anavyoviandika lara 1 with sound mind utamwelewa sana. Sema kwenye hizi issue za D na Kiba watu wamebase sana kwenye ushabiki badala ya uhalisia.
kweli mkuu ukitoa maoni juu ya hao wasanii unaishia kulowa matusi tuu watu wanaendeshwa kwa hisia zaidi ya uhalisia..
 
Mh Lara 1, sina cha kuongeza wala kuchangia maana mie mpita njia nitabaki naangalia wengine wakichangia.
 
Aisee,

Sijawahi kumkubali mwanamke like this, We mdada ni boooooonge la Kipaji (Hivi unajua kuwa unakipawa) Ma bila shaka maisha yako ni Endelevu.

Aaaah, una bonge la ushauri, Yaani nimekukubali balaa. Natangaza kuanzia leo naanza kukufuatilia. Big up sana

BACK TANGANYIKA
 
....una kila sababu ya kuwa manager wake, sio nakufagilia tu bure!,ukweli uko very smart!

you know the past, how to deal with the present, and how to prepare the future..!
big up!


eazy kuandika tunamjua huyu mtoto wa kike maneno mengi mdomon kama hivyo anavyoviongea ingekua ni rahis kuvifanyia kazi ungekuta ni tajiri wa hatari hii tym ya kuandika magazetu humu asingeipata, yule dada kajitahidi mpaka hapa kwakweli kwa mwanamke nahuo mkataba wa sony akijituma atakua mbali na atakua assisted na sony as well, so aache ujuaji wake
 
Dimond ALIJAZA AU RUGE ALIJAZA UKUMBI? Dai bila Ruge ni kama Kibakuli tuuuu! KIUKWELI SO FAR KWENYE HII GAME RUGE NI LEGENDARY KIBOKA YAKE ILIKIWA JOSEPH KUSAGA SEMA KUSAGA AME LOSE INTREST NA SHOW BUSINESS
 
Hahahaaaa! UTAFANYA VINGAPI DUNIANI? Mi nafanya what i do best niemridhika na mnaruhusiwa kunikosoa but kutoa maoni LAZIMA NITOE kama mtayapuuza am vepe mtajijua. Ila mi nishatoa
 
Dimond ALIJAZA AU RUGE ALIJAZA UKUMBI? Dai bila Ruge ni kama Kibakuli tuuuu! KIUKWELI SO FAR KWENYE HII GAME RUGE NI LEGENDARY KIBOKA YAKE ILIKIWA JOSEPH KUSAGA SEMA KUSAGA AME LOSE INTREST NA SHOW BUSINESS
We vipi watu walienda kumuangalia Ruge ........ au matangazo yalikuwa yanasema Ruge ndio atapaform ????
 
Tatizo la kiba ni jeuri yule jamaa na ni stubborn mpaka akusikilize amekuheshimu Sana
Ukiangalia wasanii wengi kwenye page zao za mitandao wameweka jinsi ya kuwapata (booking contact) either insta au penginepo ila yule jamaa ni mbishi na ni jeur
Hata yule manager wake wa zamani g lover ilikuwa wanakosana kwa kitu hichohicho bongo hakuna Kama kiba
 
Hahahaaa! HAJAWEKA KWELI UJUE! Haaaaaa! Kweli yule jeuriii nimekubali
 
Hahahaaa! HAJAWEKA KWELI UJUE! Haaaaaa! Kweli yule jeuriii nimekubali
Inakuwa ngu hata kumpata ukiwa na show may be au kitu cha maana halafu anasema insta ni mashabiki tu ndo wamemfanya atumie ila Hana mzuka nayo ndo maana anaweza pitisha week hajapost kitu chochote wakati zama zimebadilka ya KIBA na wizkidi akili zao sijui zipoje wajeuri wote wanaringia vipaji vyao ila wizkidi jeuri zaidi waacha tuone mwisho wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…