Management ya Ali Kiba ni mbovu! Imekosa vision na innovation

Dimond ALIJAZA AU RUGE ALIJAZA UKUMBI? Dai bila Ruge ni kama Kibakuli tuuuu! KIUKWELI SO FAR KWENYE HII GAME RUGE NI LEGENDARY KIBOKA YAKE ILIKIWA JOSEPH KUSAGA SEMA KUSAGA AME LOSE INTREST NA SHOW BUSINESS
Sijakusoma hapa, Ruge kiboko yake ni Kusaga au Kusaga ni Boss wa Ruge clouds Media?
 
Alikiba njoo jamii Forum kipenzi usome Koment za watu tuangalie tunajipangaje...mimi penda sana wewe tutafika tu mradi tukubali kukosolewa
 
Kiba kazidiwa pumzi hadi na Harmonize mwenye wimbo mmoja
ndani ya mwezi Harmonize kaenda Mwanza,Mtwara na mbeya kiba anabakia kuongelea instagram
 
Alikiba njoo jamii Forum kipenzi usome Koment za watu tuangalie tunajipangaje...mimi penda sana wewe tutafika tu mradi tukubali kukosolewa

Mwambie AJE, AJE na management yake.

Balozi wa Tembo anasema eti kila wiki anamfollow follower mmoja then anamtoa, wiki ijayo anafanya hivyo kwa follower mwingine...!
 


Mkuu mpaka wewe nayeamini ni Team Kiba real umeliona hili basi jamaa ni shida, kwa hiyo hata manager unaweza kufanya dili halafu jamaa akazingua.

Shida sana.
 
bado mnamwombeaga siku zote hizi hajatoka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…