Management ya Ali Kiba ni mbovu! Imekosa vision na innovation

Management ya Ali Kiba ni mbovu! Imekosa vision na innovation

Dimond ALIJAZA AU RUGE ALIJAZA UKUMBI? Dai bila Ruge ni kama Kibakuli tuuuu! KIUKWELI SO FAR KWENYE HII GAME RUGE NI LEGENDARY KIBOKA YAKE ILIKIWA JOSEPH KUSAGA SEMA KUSAGA AME LOSE INTREST NA SHOW BUSINESS
Sijakusoma hapa, Ruge kiboko yake ni Kusaga au Kusaga ni Boss wa Ruge clouds Media?
 
Alikiba njoo jamii Forum kipenzi usome Koment za watu tuangalie tunajipangaje...mimi penda sana wewe tutafika tu mradi tukubali kukosolewa
 
Kiba kazidiwa pumzi hadi na Harmonize mwenye wimbo mmoja
ndani ya mwezi Harmonize kaenda Mwanza,Mtwara na mbeya kiba anabakia kuongelea instagram
 
Alikiba njoo jamii Forum kipenzi usome Koment za watu tuangalie tunajipangaje...mimi penda sana wewe tutafika tu mradi tukubali kukosolewa

Mwambie AJE, AJE na management yake.

Balozi wa Tembo anasema eti kila wiki anamfollow follower mmoja then anamtoa, wiki ijayo anafanya hivyo kwa follower mwingine...!
 
Inakuwa ngu hata kumpata ukiwa na show may be au kitu cha maana halafu anasema insta ni mashabiki tu ndo wamemfanya atumie ila Hana mzuka nayo ndo maana anaweza pitisha week hajapost kitu chochote wakati zama zimebadilka ya KIBA na wizkidi akili zao sijui zipoje wajeuri wote wanaringia vipaji vyao ila wizkidi jeuri zaidi waacha tuone mwisho wake

Tatizo la kiba ni jeuri yule jamaa na ni stubborn mpaka akusikilize amekuheshimu Sana
Ukiangalia wasanii wengi kwenye page zao za mitandao wameweka jinsi ya kuwapata (booking contact) either insta au penginepo ila yule jamaa ni mbishi na ni jeur
Hata yule manager wake wa zamani g lover ilikuwa wanakosana kwa kitu hichohicho bongo hakuna Kama kiba

Mkuu mpaka wewe nayeamini ni Team Kiba real umeliona hili basi jamaa ni shida, kwa hiyo hata manager unaweza kufanya dili halafu jamaa akazingua.

Shida sana.
 
Back
Top Bottom