Management ya Ali Kiba ni mbovu! Imekosa vision na innovation

Management ya Ali Kiba ni mbovu! Imekosa vision na innovation

Kwa kuwa umeshajieleza hapo juu kuwa ni,MAJUNGU,UMBEA NA FIGISU FIGISU, basi yooooooooooooooote unayoongea kama watu wanajitambua watakuwa wanajua malengo yako ni hayo hapo juu.

Hahahaaaaaaaaaaa! Naona bado uko na mimi sahani moja! PEACE AND LOVE.
 
2d269f9fa9eaeb981b20ef0af990e3e5.jpg
46ef364101e05b5d41a27b242bfeaf82.jpg
79ae204ce3ff6757083fcd1c1669fb0f.jpg
f5e1640ae74086dec8f2e44aff9ed800.jpg
b9aa6e642a4f84d2fe7e6f5d682224b1.jpg
61203a48b31d4a369c7386397a4345aa.jpg

Tumeshamtumia ujumbe kule insta nazan dada atasoma
Mi mwenyewe napenda sana juhudi zake ila kukosekana wa show za alikiba hii kitu inanikera sana na ukichek wana base kubwa sana ya mashabiki wanaosupport mziki wa alikiba. Inakera sana
Naomba uangalie ujumbe wowote unao eleza kuwa Alikiba ni tatizo anatakiwa kubadilika halafu mtumie Alikiba!
 
Kwani SONY record lebo imemsaini msanii gani wa kizazi kipya..!?
Hapo ndio nikikumbuka maneno ya WCB diamond platinumz naona japo tunamkashifu wa uswazii ila ana akili ya pesa na management yake ipo poa.

*ngoja tuone SONY itamsaidia vipi kibakuli maana iliwasaini wanamziki wa injili ila hawasikiki kama wakati wapo solo
Kiba ndio tatizo zaidi natamani hata hizo Massage za kumsema muwe mnamtumia yeye ili akubali kubadilika maana ninacho kiona hapa Seven anataka kubebeshwa Lawama!

Mwambieni wazi kiba kama inawezekana aachane na Seven kabisa ili atafute njia nyingine!
 
Mdanganye uupuuzi afilisike....unahis n kaz rahisi eeeh

kWA 10% RAHISI SANAAAAA. Manake manager kazi yake ndo hio, kama hawezi kumtafutia msanii deals bora aungane na kina Lara 1 kusuka ukindu. HUWEZI JIITA MANAGER WA MSANII FLANI THEN YOU CANT GET HIM SHOWS, APPEARANCES, DEALS, MONEY IS NOT ROLLING IN. NDO MAANA NIKASEMA WANA MAMBO YA 1990S KINA JUMA NATURE UNAFANYA MZIKI KUSIFIWA NA KUPATA MADEMU BAAAS. TIMES HAVE CHANGED.
 
Hahahah!! Ali needs to change kama kweli anataka awe kingi..

Nalazimika kukubakiana na Ruttashobolwa kuwa inawezekana Seven anajituma sana lakini ndo hivyo tena Kiba umwinyi umemjaa
Hahahaha yani huyu jamaa ana kera sana mashabiki ......amebaki kupiga tour za kwenye mabasi..
 
Tatizo ni moja alilisema Benpol Ali Kiba is overrated.

Media zimempa Kiba uwezo asiokuwa nao.

Pia kuhusu shows Ali Kiba bado hana fan base ya kutosha kusapoti show zake alijaribu akapata hasara.

Mashabiki wa Kiba ndio mashabiki wa Wema Sepetu sasa tazameni maudhulio ya events anazoandaa Wema ndio mtapata majibu.

ZAMANI SAWA, COZ HAKUWA NA HIT YOYOTE ILA FOR NOW NOOOOOO! BWANA WEEEEEEE ULE WIMBO WA AJE NI KIBOKO KABISAAAA. ANGEENDA NCHI YOYOTE ILE EA ANGEELEWEKA. Sema wimbo anao, umekubalika ila yeye bado kwanza anajipumzisha kidogo
 
Kiba ndio tatizo zaidi natamani hata hizo Massage za kumsema muwe mnamtumia yeye ili akubali kubadilika maana ninacho kiona hapa Seven anataka kubebeshwa Lawama!

Mwambieni wazi kiba kama inawezekana aachane na Seven kabisa ili atafute njia nyingine!
Nmekuambia badili ID name maana unadhalilisha wahaya.. Kiba kusaini SONY ni sawa na ww ulivyosaini kwa mwajiri wako kuwa utamtumikia hadi pale avunje ama uvunje wewe mkataba. Hivo Kibakuli hajiamulii afanye nini ama aache nini maana anamilikiwa na SONY na atafanya SONY watachosema maana wao ndio wanamlipa mwisho wa siku.

*by the way nmechoka kuongea na mhaya asie jiongeza na kuelewa
 
ZAMANI SAWA, COZ HAKUWA NA HIT YOYOTE ILA FOR NOW NOOOOOO! BWANA WEEEEEEE ULE WIMBO WA AJE NI KIBOKO KABISAAAA. ANGEENDA NCHI YOYOTE ILE EA ANGEELEWEKA. Sema wimbo anao, umekubalika ila yeye bado kwanza anajipumzisha kidogo
Tatizo la Alikiba ni uoga pia ni wazi anaogopa kuwekeza kwenye show kwa hofu ya kupoteza!

Lakini sio kweli hawezi kupata watu wakujaa kama Mlimani city....niliona pale mlimani city alipo pandishwa na Jide watu walimshangilia sana.....sasa sijui hizo hoja za kusema hatojaza au kupata watu zinatoka wapi?

Mtu anaamua kufanya biashara ya muziki halafu anaogopa si bora aache afanye kitu kingine?
 
Kiboko kabisa kwa kipimo kipi ???
 
Hatimae wote kwa pamoja mnakubali kuwa Mondi ni noma na babu K kapotea.
 
Actually, ukisoma vitu anavyoviandika lara 1 with sound mind utamwelewa sana. Sema kwenye hizi issue za D na Kiba watu wamebase sana kwenye ushabiki badala ya uhalisia.
Kaka upogo na huku hahahahahaha noma sana. So Hapa upande gani ili niende tofauti
 
Tatizo la Alikiba ni uoga pia ni wazi anaogopa kuwekeza kwenye show kwa hofu ya kupoteza!

Lakini sio kweli hawezi kupata watu wakujaa kama Mlimani city....niliona pale mlimani city alipo pandishwa na Jide watu walimshangilia sana.....sasa sijui hizo hoja za kusema hatojaza au kupata watu zinatoka wapi?

Mtu anaamua kufanya biashara ya muziki halafu anaogopa si bora aache afanye kitu kingine?
Pesa ili iingie kwanza inataka pesa itoke, na ili itoke inataka mtaji, na kama huna mtaji, unatakiwa uwe na ushawishi wa kuwaambia wenye pesa zao wawekeze kwako, na ili wawekeze kwako wanataka uhakika wa kurudi kwa pesa yao, na kama wanakosa/wanaogopa kuwekeza kwako, basi kuna tatizo la kutokurudi kwa pesa zao, na kama wanaogopa kutokurudi basi labda walishawahi kupata hasara nae.
 
Mi sidhani kama seven na management nzima hawayajui haya aliyoyaeleza lara1, ikiwa mimi mwananchi wa kawaida kabisa nayaelewa, huwezi nishawishi kuwa akina seven, alikiba na management nzima hawayajui.
Nafikiri kuna kitu kingine kizuri wanaanda, japo upepo wa utimu wameshindwa kuutumia vizuri, kama hakuna kizuri kinachoandaliwa basi kuna shida zaidi ya hii tunayoiona.
Kwetu sie raha tu shows kama mvua. Go goo chibu.
 
Hatimae wote kwa pamoja mnakubali kuwa Mondi ni noma na babu K kapotea.
Kwanini DIAMOND asiwe noma kwenye huu mchezo ........... unadhani kuujaza ukumbi wa m/city kwa kiingilio cha chini 50,000/= kazi ndogo huku cha juu ikiwa 1m na watu wamejaa utafikiria wameingia bure. Sasa huyu jamaa watu hata kutumia pesa zao kwake wanaogopa.
 
Back
Top Bottom