kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Jeneza FC inakuwaje mnanyanyaswa na Utopolo?Hii fedheha imezidi haiwezekani kila tukikutana na yanga sisi ni kufungwa au draw. Tunaenda uwanjani huku moyoni tuna wasiwasi mwingi
Management wao wanaangalia biashara tu hawatujali sisi mashabiki. Wote wajiuzuru watuachie timu yetu.
Hii fedheha imezidi haiwezekani kila tukikutana na yanga sisi ni kufungwa au draw. Tunaenda uwanjani huku moyoni tuna wasiwasi mwingi
Management wao wanaangalia biashara tu hawatujali sisi mashabiki. Wote wajiuzuru watuachie timu yetu.
Tunaumia sisi mashabiki inaumiza sana tunawaza namna hata ya kurudi nyumbani kutoka kwenye vibanda vyetu. Wote wajiuzuruTimu ya babako? unachangia shilingi ngapi kusajili, kulipa mshahara wachezaji, kuwasafirisha kwenye mechi au kuwalisha? Acha waliowekeza fedha zao wazungumze wewe fuata ushauri wa askofu mpemba kafanye kazi za kukuingizia kipato sio kila saa simba yanga....simba yanga....simba yanga.....Tembelea jukwaa la ujasiriamali ujifunze hata kufuga kuku wakubwa asili ya ujerumani na mexico ... hizo habari za simba na yanga waachie waswahili wa kwenye kahawa wanaoishi mjini kwa nyumba za urithi na chuma ulete. Kijana mdogo muda wa kazi huu unaleta habari za kwenye kahawa?
Wala hakuna fedheha yoyote ile kwa kufungwa na Yanga. Ni bahati mbaya tu baadhi yenu mashabiki mna mihemko kupitiliza.Hii fedheha imezidi haiwezekani kila tukikutana na yanga sisi ni kufungwa au draw. Tunaenda uwanjani huku moyoni tuna wasiwasi mwingi
Management wao wanaangalia biashara tu hawatujali sisi mashabiki. Wote wajiuzuru watuachie timu yetu.