Manager needed

Manager needed

MarkD

Member
Joined
Jan 10, 2012
Posts
72
Reaction score
43
Hi Friends,
Ninahitaji Meneja wa Kusimamia shughuli za Kampuni inayojihusisha na ushauri wa biashara (Business Consultancy) iliiyopo Dar. Sifa awe shahada ya kwanza na kuendelea, pia aelewe mambo ya ujasiriamali, awe na uewelewa wa mambo ya utafiti (data collection techniques). Kwa maelezo zaidi tuwasiliane 0712 066 064 au 0753 12 54 74
 
Back
Top Bottom