Ney wa Mitego ana nyumba nne kazijenga facebook na kwenye tv
Hapo kwenye Red ndio UKISIKIA WACHAWI WA MCHANA NA WENGINE WOTE WANA HOJI UTAJIRI KATOA WAPI?Mimi nauliza miezi 7 mingi au michache?Huyo meneja ni kama yule aliyempigisha magoti PNC shabaash.Alitaka still awe hohehae kama yeye au ?Na yeye ajiunge na mafreemason aone kama hajatoka.Umofia kwenu kina ogah na Oninye,Miezi miwili iliyopita msanii Ney wa mitego alianika utajiri wa ajabu zikiwemo nyumba nne na gari moja ya kisasa nissan murano!! Akichezesha taya na mwandishi wetu aliyekuwa manager wa ney amesema tangu aachane na ney miezi 7 iliyopita alikuwa hana hata nyumba moja ameshangaa kumuona ana nyumba nne ghafla lakini manager amesema inawezekana jamaa anatafuta kiki ili watu wanaomuita kwenye show wafikirie kumpa mpunga mrefu na si laki laki wanazolipwa kwenye fiesta! Amefunguka kwamba Ney kuwa na hizo nyumba basi itakuwa ni miujiza.
mkuu....rudi darasani,...mwandiko....wako...unatisha...
aisee..... Kwa uandishi huu. No body cares!
Wauza sembe wote
alishasema ye ndo mjukuu wa lucifer mtamweleza nini so mi siongez labda ndo wale wale
Duh...kweli kiswahili kinakua...
Kila nikifikiria jinsi Mungu alivyotuumba "miAFRICA" huwa nadhani kuna kitu alisahau kutuwekea either, badala ya kutafuta njia alizozitumia kujenga Ney ili tujifunze mijitu.tumekalia majungu tu... ooh amejengea facebook.... oooh hana uwezo..... oooh anauza sembe..... oooh brah brah....
WEWE KWASABABU BABA YAKO AMEKUFA HANA HATA NYUMBA UNAFIKIRI KILA MTU HAWEZI KUJENGA?
Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)
Aliyasemea wapi haya maneno?
Kweli kabisa wanapenda sana kick za kirahisi rahisi.Hawa wasanii bana mie ninge Ikuwa TV presenter ningewaomba hati za nyumba zao ndio nitangaze
Kila nikifikiria jinsi Mungu alivyotuumba "miAFRICA" huwa nadhani kuna kitu alisahau kutuwekea either, badala ya kutafuta njia alizozitumia kujenga Ney ili tujifunze mijitu.tumekalia majungu tu... ooh amejengea facebook.... oooh hana uwezo..... oooh anauza sembe..... oooh brah brah....
WEWE KWASABABU BABA YAKO AMEKUFA HANA HATA NYUMBA UNAFIKIRI KILA MTU HAWEZI KUJENGA?
Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)
Hahaha ndo kawaida ya wabongo tubadilike jamani kama ni wivu fanyeni kazi
Inatuhusu nini?