Manager wa Ney wa mitego ashangazwa na utajiri wa Ney

Manager wa Ney wa mitego ashangazwa na utajiri wa Ney

Umofia kwenu kina ogah na Oninye,Miezi miwili iliyopita msanii Ney wa mitego alianika utajiri wa ajabu zikiwemo nyumba nne na gari moja ya kisasa nissan murano!! Akichezesha taya na mwandishi wetu aliyekuwa manager wa ney amesema tangu aachane na ney miezi 7 iliyopita alikuwa hana hata nyumba moja ameshangaa kumuona ana nyumba nne ghafla lakini manager amesema inawezekana jamaa anatafuta kiki ili watu wanaomuita kwenye show wafikirie kumpa mpunga mrefu na si laki laki wanazolipwa kwenye fiesta! Amefunguka kwamba Ney kuwa na hizo nyumba basi itakuwa ni miujiza.
Hapo kwenye Red ndio UKISIKIA WACHAWI WA MCHANA NA WENGINE WOTE WANA HOJI UTAJIRI KATOA WAPI?Mimi nauliza miezi 7 mingi au michache?Huyo meneja ni kama yule aliyempigisha magoti PNC shabaash.Alitaka still awe hohehae kama yeye au ?Na yeye ajiunge na mafreemason aone kama hajatoka.
 
Nyumba 4 inawezekana lakini kuna aina mbili za nyumba...
1.Nyumba bora
2.Bora nyumba

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
alishasema ye ndo mjukuu wa lucifer mtamweleza nini so mi siongez labda ndo wale wale
 
mkuu....rudi darasani,...mwandiko....wako...unatisha...

duuh..mkuuu umenidharau sana aisee...yani nirudi darasani nikamwambie nini sasa prof wangu?...kwamba nimekuja kufundishwa kuandika jamii forums?

Anyway...who cares?
 
Wazee wa kuongeza sifuri hao na mijisifa, kina AY, jide, Prof Jay, wapo kimya tu, na wapo vizuri tu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kila nikifikiria jinsi Mungu alivyotuumba "miAFRICA" huwa nadhani kuna kitu alisahau kutuwekea either, badala ya kutafuta njia alizozitumia kujenga Ney ili tujifunze mijitu.tumekalia majungu tu... ooh amejengea facebook.... oooh hana uwezo..... oooh anauza sembe..... oooh brah brah....
WEWE KWASABABU BABA YAKO AMEKUFA HANA HATA NYUMBA UNAFIKIRI KILA MTU HAWEZI KUJENGA?

Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)
 
Last edited by a moderator:
Hahaha ndo kawaida ya wabongo tubadilike jamani kama ni wivu fanyeni kazi
 
Mkuu we ni dokta kweli??
 
Wewe SUPU YA MAWE usijitoe ufahamu huyo poyoyo neema wa mitego ataishia kujenga hizo nyumba facebook na twitter tu!!!
 
Last edited by a moderator:
Hahaha ndo kawaida ya wabongo tubadilike jamani kama ni wivu fanyeni kazi

Mwambie aache ujinga wa kitoto anamdanganya nani sasa? Hiyo murano anaendeshea wapi mbona hatumuoni nayo? Au kama wewe umeiona ebu weka namba zake tuone ili tuzisearch TRA tuone kama ameregister kwa jina lake ili tukate mzizi wa fitna.
 
Back
Top Bottom