Manahodha wa Timu zinazoshiriki kombe la FA Uingereza sasa Wanavaa kitambaa chenye bendera ya Mashoga!

Mesuit ozil alishakataa kuvaa kitambaa cha ushoga kwasababu yeye ni muislam na hakuvaa
Idris Gana Gueye alikataa kuvaa jezi ya PSG iliyoandikwa namba kwa rangi za ushoga na baadae aliondolewa kikosini

Juzi mchezaji wa Manchester united Noussair Mazraoui alikataa kuvaa masweta ya Adidas yaliyokua yamewekewa nembo za ushoga na wachezaji wenzake wakamsapoti na timu nzima haikuvaa kwasababu dini yake inamkataza.

Kwahiyo kuhusiana na waislam wao misimamo yao ni kupinga siyo kama huyu mzee hapa anaebariki ushoga
 
Bila kujali nahodha ni Muislamu au Mkristo au Pagani ni lazima avae nembo za rangi ya Mashoga

Sasa hawa Watoto wanaoshinda kwenye kubeti wanafundishwa Maadili gani?

Niishie hapo 🐼
kwamba wanafaa kuunga mkono ufirauni?

kumbaf sana alaa!@🐒
 
aah, papa!
 
Usiegemee kwenye udini
Mohamed Salah ni muislam ila anavaa
Granit Xhaka na Guech ni wakristo lakini waligoma kuvaa hayo mavitambaaa
Kwaiyo hakuna dini inayorusu ushoga
 
Usiegemee kwenye udini
Mohamed Salah ni muislam ila anavaa
Granit Xhaka na Guech ni wakristo lakini waligoma kuvaa hayo mavitambaaa
Kwaiyo hakuna dini inayorusu ushoga
We lini umemuona Salah kavaa kitambaa cha ukapteni chenye rangi ya ushoga?
 
Usiegemee kwenye udini
Mohamed Salah ni muislam ila anavaa
Granit Xhaka na Guech ni wakristo lakini waligoma kuvaa hayo mavitambaaa
Kwaiyo hakuna dini inayorusu ushoga
Ahsante sana kwa ufafanuzi Mzuri
 
Virgil van Dirk ashakataa kuvaa kitambaa cha ushoga
Ila Salah Huwa anavaa
Leta picha ya Mo salah akiwa amevaa kitambaa cha ushoga na useme ilikua mechi gani.

Kuhusiana na Van dijk acha uongo mara zote yeye ndo huwa anavaa kitambaa cha ushoga huyu hapa
 
Usiegemee kwenye udini
Mohamed Salah ni muislam ila anavaa
Granit Xhaka na Guech ni wakristo lakini waligoma kuvaa hayo mavitambaaa
Kwaiyo hakuna dini inayorusu ushoga
Guechi ndo nani? Hakuna mchezaji anaitwa Guech epl alafu Hata Granit Xhaka kukataa kuvaa kitambaa cha ushoga ni uongo huyu hapa kavaa sana
 
Ipswich Captain Sam Morsy muongeze hapo aligoma juzi kuvaa bendera ya LGBTQ km captain
 
tunasubiri habari za ushoga za huko Zanzibar.tujaze Uzi.🤣🤣
 
Bila kujali nahodha ni Muislamu au Mkristo au Pagani ni lazima avae nembo za rangi ya Mashoga

Sasa hawa Watoto wanaoshinda kwenye kubeti wanafundishwa Maadili gani?

Niishie hapo 🐼
Sio uingereza tu hata huku wapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…