Manahodha wa Timu zinazoshiriki kombe la FA Uingereza sasa Wanavaa kitambaa chenye bendera ya Mashoga!

Manahodha wa Timu zinazoshiriki kombe la FA Uingereza sasa Wanavaa kitambaa chenye bendera ya Mashoga!

Usiegemee kwenye udini
Mohamed Salah ni muislam ila anavaa
Granit Xhaka na Guech ni wakristo lakini waligoma kuvaa hayo mavitambaaa
Kwaiyo hakuna dini inayorusu ushoga
Guehi alivaa ila aliandika ''i love Jesus", kuna kapteni yule wa Ipswich ndo aligoma kuvaa kabisa
 
Sijui kwanini Wanalazimishia hii kitu hivyo Yaan utadhani ni jambo la msingi sana ..

Mi nalitizama ki Kawaida sio kidini ki ukweli bado sioni maana yake.. Kwasababu Tutakapo taka dunia iendelee kuwa na watu hatuwezi kuwa na jamii inayofumuana mitaro peke yake
Lazima mwanamke na mwamaume awepo hata kama ni kwa kupata kwa njia ya chupa ila mbegu zinazotumika ni za ki ume na kike.

Sijaona bado mantiki yao kulipa ukubwa wakati yako maswala mengine ya msingi
 
Una edit ili iweje mkuu
Nenda google kamgoogle granit xhaka na vin dijk wakiwa na rainbow armband utazikuta picha nyingi tu mi niedit ili iweje na wakati wanacheza mechi hadharani na tumewaona wakivaa ushoga? Wewe ndo unataka kuleta habari za uongo kuwa mohamed salah huwa anavaa hiyo ni uongo mtupu
 
Usiegemee kwenye udini
Mohamed Salah ni muislam ila anavaa
Granit Xhaka na Guech ni wakristo lakini waligoma kuvaa hayo mavitambaaa
Kwaiyo hakuna dini inayorusu ushoga
Hapa umetupiga! Salah?..sio kweli.
 
Back
Top Bottom