Manahodha waliopita wamfunda Cannavaro

Acha Matusi! Midomo yenu michafu ndo Maana mmekosea hata kupiga kura Jecha akaufuta
 
kwa style hiyo hata mimi ningechukia kwa kweli...ila basi ampuuze Mkwasa na alifikilie taifa katika maamzi yake!
yeah sure, hilo lipo ndani ya uwezo wake kabisa, ila akifikiria anapata majanga kwenye timu ya taifa then hapati thamani anayostahili, hata mimi ningeacha tu
 
Mawazo yenye ushabiki wa Usimba na Uyanga. Hao makinda wametoka kwenye academy ipi!!!! Au ni wale wale waliopitia kwenye mifumo ya akina Cannavaro usiowapenda????
 
ndugu yangu inaonekana hukuwah kabisa kukaa na wazazi au walezi. maana angalau wangekufundisha matumizi sahihi ya maneno kwa watu wazima. anyway....nadhan hili jambo umelichukulia kwa hasira sana na sijui ni kwa mtizamo upi maana nikiangalia hapa naona kuna mitizamo mingi inayowangoza watu kumtukana mkwassa. anaweza akawa amekosea au amepatia but ni vyema kuwa na ustaarabu. nani alimpa unaodha cannavaro? alimpa kwa barua inayosemaje? well ....kama aliambiwa tu we naodha kuna tatizo gani akiambiwa tu kuwa sasa zamu ya mwenzio? kama hakuambiwa kabisa before kutangazwa samatta hapo kidogo aliteleza alipaswa amwambie mhusika kwanza kuwa bwana tuna kupa mapumziko kidogo. but si kumtukana pia.
 
Ndo wajifunze kuwaandaa ... Ni lazima wapewe nafasi kuanzia ngazi ya club to nationwise.
 
Lakini nina hakika Unahodha hakupewa kupitia kipindi cha michezo redioni!

Unaamini angeteuliwa kuwa nahodha au Mchezaji bora kupitia kipind cha Michezo Radion angekataa?
Kama ni kosa kakosewa na Mkwassa kususa unalisusia Taifa Zima kwa kujitoa Timu ya Taifa.
Alishawah kuongoza wachezaj wa Timu ya Zanzibar kugawana Dola elf 10 za Zawad wakiwa Uganda bila ya kufuata utaratibu akafungiwa ZnZ leo anajifanya 'Team kanuni na taratibu'.
 
Mtu huhukumiwa kwa analotenda, hahukumiwi kwa analokisiwa angetenda!
 
Siri ya tatizo hili hamuijui.kwa muda mrefu kumekuwa na dharau au ubaguzi wa chini chini au hata maneno ya kashfa kwa wachezaji wa timubya taifa wanaotoka zanzibar.msuguwano huu upo muda mrefu. Wachezahi wa zanzibar wanalijua hili sio hawa wa sasa tu bali hata wa zamani .likipotokea hili ndio canavaro akaunganisha na mambo haya .wachezaji wa zanzibar wananyanyaswa ingawa kwa kifichaficha ila wenyewe wanajua
 
Watu wazima wana nini kwani? Mimi nimetoa mfano wa baa, kwani baa hakuna wanawake, hawakimbilii meza zenye bia nyingi? Kwani Starz hakuna Mkwassa, hajamkimbizia Unahodha Samatta ambaye ndio 'habari ya mjini'?
Usinitibue bro, hata Yesu alifundisha kwa mifano, kama mfano wangu umekuudhi hilo ni tatizo lako!
 
Mimi nashangaa haya machezaji ya Tanzania hakuna yanachotufanyia Mara ya mwisho kushiriki tu mataifa ya afrika ilikuwa miaka ya mwanzoni kabisa mwa miaka ya themanini yakanzishwa mashindano kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani huko napo hatufui dafu tumeshiriki mara moja tu tena tukaishia makundi alafu yanataka kuheshimika kwa yapi labda ya wanachokifanya taifa lolote lile nahodha wa timu lazima awe nembo ya taifa ndani na nje ya nchi mfano mzuri ni Brazil thiago silva alivuliwa unahodha na kupewa neymar ambaye anaonekana kama ni nembo kwa taifa lao asisumbue akizani anafaida kwa taifa imefika wakati wakuondoka hawa wachezaji mizigo wasiokuwa na faida kwa taifa miaka nenda miaka rudi
 
Naona pande zote (canavaro/mkwasa) zimekosa kuelewa nini hasa maana ya nahodha. Nahodha ni kiongozi, uongozi sio lazima uwe cheo. Uongozi ni uwezo wa ushawishi. Ushawishi unaweza kufanywa bila kutegemea cheo bali uwezo. Samata angeweza kua kiongozi bila unahodha na canavaro anaweza kuongoza bila unahodha. Drogba aliposema Chelsea inayumba kwa kukosa viongozi hakumaanisha hawana nahodha. Alimaanisha watu wenye ushawishi kama yeye lampard Czech essien balack cavalho hawakupata mbadala. Sio lazima mchezaji mzuri awe nahodha na wala sio lazima kiongozi awe nahodha lakini in muhimu sana timu kua na viongozi wengi wachezaji japo manahodha watakua wawili au watatu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…