Manaiki Sanga ni nani?

Manaiki Sanga ni nani?

Bukwabi

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
3,352
Reaction score
1,148
Wakuu,

Nashawishika kuomba nisaidiwe na wanajamvi kuhusu msanii huyu wa Bongo movies ambaye habari zimekuwa zikienea kuwa ni actor mzuri wa picha za wakubwa (porn movies).

Kwa yeyote anayefahamu vizuri CV yake atuambie huyu mtu ni nani hasa na hizi tetesi ni za kweli? Kama ni kweli hivi kweli watanzania, kwa namna tunavyoaminika kwa ustaarabu, tunaruhusu mambo haya yafanywe nchini kwetu ?

Karibuni
 
Mbona ushasema ni mbongo movie sasa unahitaji kujua nini zaidi?
 
ni actor wa ponographic movies,wewe google manaika utaona picha zake za uchi zaidi ya 400
 
Kweli siku hizi kuna equal rights, wanaume wanaongea mambo kama kina dada! Ndio maendeleo haya.
 
Kuna watu ambao wanagusa mstakabali wa maisha ya wanajamii kwa ujumla. Mtu kama huyu anashawishi watoto wa kike kupiga picha za utupu na au kucheza picha za ngono.
Watu waulize kuhusu mtu kama huyu halafu waambiwe wanabehave kama kina dada?
Kina dada wana mambo gani mpaka uwaunderate?
Waombe radhi! !!!!
 
anataka kumuoa wolper
 
Wakuu,

Nashawishika kuomba nisaidiwe na wanajamvi kuhusu msanii huyu wa Bongo movies ambaye habari zimekuwa zikienea kuwa ni actor mzuri wa picha za wakubwa (porn movies).

Kwa yeyote anayefahamu vizuri CV yake atuambie huyu mtu ni nani hasa na hizi tetesi ni za kweli? Kama ni kweli hivi kweli watanzania, kwa namna tunavyoaminika kwa ustaarabu, tunaruhusu mambo haya yafanywe nchini kwetu ?

Karibuni

Mnaaminika na nani ? Mtoto Pendo Emmanuel (malaika wa Mungu) ametekwa kule Mwanza, mpaka wa leo hajapatikana akiwa hai au marehemu, au kwako unatafsiri huo kama ustaarabu ?.....kama dunia itawaheshimu kwa ufedhuli huo, basi itakuwa ni jehanamu ambayo inatudharau.
 
Kijamaa fulani hivi kifupi nyundo, kinawat..mba sana madem wasiojielewa na malaya wa bongomuvi sijui wanakipendea nini (siri wanaijua wao). Kuna uwezekano mkubwa kati ya kiliowat..mba Uwoya na Wolper wapo kwenye list
 
Back
Top Bottom