Kama unamfahamu mkuu, naomba ABC zake tafadhali, na kuhusu hizo story kama ni kweli!
Kweli siku hizi kuna equal rights, wanaume wanaongea mambo kama kina dada! Ndio maendeleo haya.
Kuna watu ambao wanagusa mstakabali wa maisha ya wanajamii kwa ujumla. Mtu kama huyu anashawishi watoto wa kike kupiga picha za utupu na au kucheza picha za ngono.
Watu waulize kuhusu mtu kama huyu halafu waambiwe wanabehave kama kina dada?
Kina dada wana mambo gani mpaka uwaunderate?
Waombe radhi! !!!!
Wakuu,
Nashawishika kuomba nisaidiwe na wanajamvi kuhusu msanii huyu wa Bongo movies ambaye habari zimekuwa zikienea kuwa ni actor mzuri wa picha za wakubwa (porn movies).
Kwa yeyote anayefahamu vizuri CV yake atuambie huyu mtu ni nani hasa na hizi tetesi ni za kweli? Kama ni kweli hivi kweli watanzania, kwa namna tunavyoaminika kwa ustaarabu, tunaruhusu mambo haya yafanywe nchini kwetu ?
Karibuni
Du huo ni mwanzo wa kupotea kwa Wolper. Kama kakosa waoaji aolewe!
tumpe pole kama ana hamu na ndoa