MLUGURU
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 3,040
- 3,971
Muheza hiyo unauziwa chungwa moja moja ila uziguani unauziwa shamba zima kama unanunua mihogoAanha… angalau umenipa mwanga ndugu.
Mkuu hiyo bei ni nzuri, pia ni wapi huko machungwa yanapatikana kwa bei hiyo ?
Kiwangwa au?