MLUGURU JF-Expert Member Joined Mar 30, 2012 Posts 3,040 Reaction score 3,971 Jul 13, 2025 #21 Shuku_ said: Aanha… angalau umenipa mwanga ndugu. Mkuu hiyo bei ni nzuri, pia ni wapi huko machungwa yanapatikana kwa bei hiyo ? Kiwangwa au? Click to expand... Muheza hiyo unauziwa chungwa moja moja ila uziguani unauziwa shamba zima kama unanunua mihogo
Shuku_ said: Aanha… angalau umenipa mwanga ndugu. Mkuu hiyo bei ni nzuri, pia ni wapi huko machungwa yanapatikana kwa bei hiyo ? Kiwangwa au? Click to expand... Muheza hiyo unauziwa chungwa moja moja ila uziguani unauziwa shamba zima kama unanunua mihogo