Mananasi ya kukaanga

Ukiongezea na miwa ya kuchemsha iliyotiwa pilipili kidogo itapendeza!
Ukiongezea na Limao la kuchoma ITAPENDEZA ZAIDI.

Changanya na lost la pera itakuwa bora na zaidi kidogo.🤣🤣🤸‍♂️

Weekend Raha sana.
 
Ukiongezea na Limao la kuchoma ITAPENDEZA ZAIDI.

Changanya na lost la pera itakuwa bora na zaidi kidogo.[emoji1787][emoji1787][emoji2223]

Weekend Raha sana.
Na makoko ya juice ya tembele
 
achana na juice yake... ugali wa unga wa tembele uupate na mchuzi wa papai pamoja na rosti la vifuu vya nazi si mchezo
Na pilipili ya karanga na Chps yai za dodo
 
Mwenye ujuzi wa kupika ugali wa majani atujuze namna ya kufanikisha
 
Weee hujawahi onja ya mapera wewe [emoji39]unashushia na juisi ya konokono
Esepeshale wawe konokono weusi, wanakuwa na juise tamu Kama ya mbegu za pipi
 
Reactions: ABJ
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…