Mananasi ya kukaanga

Mananasi ya kukaanga

Ukiongezea na Limao la kuchoma ITAPENDEZA ZAIDI.

Changanya na lost la pera itakuwa bora na zaidi kidogo.[emoji1787][emoji1787][emoji2223]

Weekend Raha sana.
Na makoko ya juice ya tembele
 
achana na juice yake... ugali wa unga wa tembele uupate na mchuzi wa papai pamoja na rosti la vifuu vya nazi si mchezo
Na pilipili ya karanga na Chps yai za dodo
 
Hayoooo
images%20(93).jpg
 
Mwenye ujuzi wa kupika ugali wa majani atujuze namna ya kufanikisha
 
Weee hujawahi onja ya mapera wewe [emoji39]unashushia na juisi ya konokono
Esepeshale wawe konokono weusi, wanakuwa na juise tamu Kama ya mbegu za pipi
 
  • Thanks
Reactions: ABJ
Back
Top Bottom