Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Hii lazima itakua Tanga hii😀Mananasi ya kukanga unaweza kula na mishakaki ya machungwaView attachment 1639257
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii lazima itakua Tanga hii😀Mananasi ya kukanga unaweza kula na mishakaki ya machungwaView attachment 1639257
Ukiongezea na miwa ya kuchemsha iliyotiwa pilipili kidogo itapendeza!
na big bom za kuchemshaIpo sumu bomba ya big G za kukaanga
usisahauHiyo naweka
Bas bas jauza
Udi nadi
Kuzbara
Manemane na
Bakalhad
Unapiga na mchemsho wa funza weusi.Mananasi ya kukanga unaweza kula na mishakaki ya machungwaView attachment 1639257
Halafu unashushia na juice ya bamia iliyochanganywa na nyanya chunguUkiongezea na miwa ya kuchemsha iliyotiwa pilipili kidogo itapendeza!
itapendeza pembeni ukiwa na maandazi ya magadiHalafu unashushia na juice ya bamia iliyochanganywa na nyanya chungu
miyatu saailaHalititi
Kamun abyadh
Kamun aswad
Ubani mashtaka
Uturi
Na zaatari
Hapo lazma uokote hela kila siku na upate ndoto safi