Mananasi ya kukaanga

Mananasi ya kukaanga

Guys, nimemiss Keki ya vitunguu saumu nishushie na Juice ya Pamba.
Juice ya pamba inapendeza na Sambusa za Ubwabwa
IMG_20201202_124524.jpg
 
Juice ya sabuni ya mche ina virutubisho vingi kama ilivyo juice ya katani, lakini ili upate mlo kamili inabidi ule na makoko ya chai au mishikaki ya mchele.
 
Hii jaribu jaribu hii asije mtu kuthubutu kukaanga au kuoika parachichi bichi maana haupiti muda utabadili title kama sio status!
 
Uzuri wa hiyo Upate Majani ya Pipi Kali yaliyochanganywa vizuri na Unga Big G! Then Tia kwenye maji ya Keki...
Utanishkuru baadae sana!
 
Back
Top Bottom