Manara 2022: CAFCL ni kombe la losers

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Your browser is not able to display this video.

Wahenga walisema tuwe na akiba ya maneno. Hii ni kauli ya msemaji wa klabu ambaye jukumu lake ni kusemea klabu na uongozi wa klabu.

Hoja yangu ni kwamba, Yanga bado mnalitambua kama kombe la loosers au vinginevyo?
 
Zidi kujitahidi kuanzisha nyuzi kwa wingi Mtani kwani Kidogo kidogo maumivu uliyonayo baada ya Timu ya Wananchi kuingia quarter final yatapungua na hatimaye kuisha kabisa Mtani. 🤣🤣
 
Yani nyinyi olewenu muingize timu kwenye hiyo game ya league iliyobaki, juma bonge na kale kazee naomba wasihusike kabisa kwenye tukio tutakalo wapiga.
 
Yani nyinyi olewenu muingize timu kwenye hiyo game ya league iliyobaki, juma bonge na kale kazee naomba wasihusike kabisa kwenye tukio tutakalo wapiga.
Tikisa kichwa kisha rudi kwenye mada. Kama huna hata akili ndogo ya kujadili mada basi usitukane makocha. Wana familia wale. Hili sio jukwaa la wavuta bange
 
View attachment 2559064

Wahenga walisema tuwe na akiba ya maneno. Hii ni kauli ya msemaji wa klabu ambaye jukumu lake ni kusemea klabu na uongozi wa klabu.
Hoja yangu ni kwamba, Yanga bado mnalitambua kama kombe la loosers au vinginevyo?
Kutoka Yanga hawana ubavu michuano ya kimataifa mpaka kombe la losers naona sasa tunaanza kuelewana taratibu nyinyi endeleeni na ushindi wenu wa hila Nusu kaputi FC. Yanga ndio timu ya kwanza itayokuwa ya kwanza kunyanyua ndoo CAF amini hilo dunduka
 
😅😅 mada au porojo.

Hayo ni mapungufu ya kibinadamu na ndio sababu hata we mwenyewe akiba ya maneno huna hadi kuna wakati baadhi ya nyuzi zako huwa unazikimbia. 😀
Mimi sio taasisi naandika kwa utashi binafsi. Kwa hiyo tukubaliane taasisi iliropoka au imejaa waropokaji.
Halafu hayo sio mapungufu ya kibinaadamu kwa sababu ndiyo ilikuwa mada
 
Kutoka Yanga hawana ubavu michuano ya kimataifa mpaka kombe la losers naona sasa tunaanza kuelewana taratibu nyinyi endeleeni na ushindi wenu wa hila Nusu kaputi FC. Yanga ndio timu ya kwanza itayokuwa ya kwanza kunyanyua ndoo CAF amini hilo dunduka
Unajadili mada gani. Soma tena
 
Nasikia mara ya mwisho kushiriki kwenye kombe la LUZAS mlishikwa uchawi.
 
Kutoka Yanga hawana ubavu michuano ya kimataifa mpaka kombe la losers naona sasa tunaanza kuelewana taratibu nyinyi endeleeni na ushindi wenu wa hila Nusu kaputi FC. Yanga ndio timu ya kwanza itayokuwa ya kwanza kunyanyua ndoo CAF amini hilo dunduka
Hebu amka utajikojolea bureeeee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vipi wewe umesahau nyuzi zako za kijinga za kumlinganisha Mayele na Kibu D!!, Au unamuwaza Manara tu?. Kila kitu kinasemwa kutokana na nyakati na muktadha wake.
 
Haji Manara alisema uhalisia kombe la shirikisho ni la looser so we kinachokukwaza hapo ni nini? Kama sio kukosa Akili??
ukisikia Looser sijui akili yako inakujia vipi??
Looser hapa ni yule alieshindwa kuingia Makundi ya Champions League hata Ulaya Barca alienda Europa baada ya kushindwa kwenye Makundi ya UEFA so hio ni kawaida ila sio huo u looser unaowaza wewe eti team mbovu kwenye ligi😂😂
Hio ni simba Tu😂
Mi shabiki wa Yanga damdam na ukweli usemwe Yanga anacheza Kombe la Looser kama vile mlivyocheza Nyie..ila haimanishi ubovu wa Yanga Kama kweli we ni mfatiliaji wa soka kwelikweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…