Manara acha uongo, weka vyeti hadharani au toa majina ya vyuo

Manara acha uongo, weka vyeti hadharani au toa majina ya vyuo

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
Kila siku wewe ni kujifanya kutoa amri na ultimatum kwenye media,wewe kikaragosi ni wa kutoa amri kwa Simba au MO? kila siku ukihojiwa kazi yako kudanganya ulisoma Mass Comm South Africa na Advanced Diploma ya siasa China.

I CHALLENGE you toa vyeti hadharani tuone AU TAJA MAJINA YA VYUO NA MWAKA ULIOSOMA

Kipindi TFF wanataka kukazia ma afisa habari wawe wamesomea ulianza kuaga kabisa mapema na kulialia ukijua Gift Macha anachukua nafasi yako sababu yeye ana degree ya SAUT kina Try again wakakutetetea uendelee kubaki kumbe walikuwa wanafuga joka bila kijujua wamekuja kustuka too late

NARUDIA TENA WEWE MANARA TOA VYETI HADHARANI AU WEKA MAJINA YA VYUO NA MWAKA ULIOSOMA SOUTH AFRICA NA CHINA, MUONGO MKUBWA WEEEEEE

Nikiripoti toka kurasini bandarini ni mimi Nzagambadume a.k.a Mzee TOZI , mzee M BAD kabisa kiboko ya majitu yenye tamaa za pesa,wazee wa bandari meli hiyooooo pooooooh
 
awe na vyeti au asiwe na vyeti, hilo halina uzito, tunachojali ni kwamba tunaona kwa macho yetu kazi anaiweza kuzidi msemaji yeyote aliewahi kutokea hapa bongo , wapo waliosomea phd za haya mambo lakini kwenye kazi hawafikii hata robo uwezo wa DE LA BOSS MANARA.

--Manara ndie msemaji anaelipwa mno, milioni 9 kwa mwezi, huu ni mshahara wa miezi miwili ama mitatu ya mwalimu wa chuoni, hapohatujagusia mpunga anaopokea kwenye ubalozi wa azam, gsm na asas, pesa iliyokuwa inamtunza zaidi kuzidi ule mshahara wa laki 7

-Manara ndie msemaji anaekera zaidi upinzani lakini cha ajabu wanaendelea kumfollow hawataki kumu unfollow 😀 😀

--Manara ndie msemaji anaeweza kufanya promo za kujaza dimba,

--Manara ndie msemaji anaeweza kuukera upinzani kwa kiwango cha juuu (kuwakera, maneno ya shombo, kebehi, n.k. ) leo hii tayari mtu akisema "KOLO" picha inakuja ya simba
 
Vyeti siyo dili saizi mkuu, angalia kile unachokipata tu......watu wanamapihechidii na nijobulesi,saizi kusoma nikupata tu exposure tu
 
kama mtu anaweza anaweza tu.

-kuna msemaji gani anaefuatiliwa no na wapinzani kuzidi manara hii nchi??'

-kuna msemaji gani anaeweza kufanya promo ikafika kila kona ya nchi kuzidi manara?

-kuna msemaji gani anaemzidi manara kuuparua upinzani kwa kuwakera?

-kuna msemaji gani anaelipwa hata robo ya mshahara wa mabara (9m)
Issue hapa ni veyti huo mlolongo ulioutoa anzishia mada yake
 
Mbona haya maswali asiulizwe akiwa utopoloni? haijalishi kaulizwa lini na wapi ,Its high time aweke vyeti hadharani tena ASAP
muulizeni na ikiwezekana mfanyeni mnavyotaka.

Mashabiki wa Simba hii issue ya Manara imewaumiza kweri-kweri 🤣 🤣 🤣
 
kuna ubaya akionyesha hadharani hivyo vyeti maana kila siku yeye ni kuiamrisha simba ionyeshe billions 20..na mimi nataka atoe hivyo vyeti tuone au ataje majina ya vyuo na mwaka
Umemlipia ada?
 
Umemlipia ada?
swali la kijinga kabisa wakati tunadai vyeti vya bashite tulikuwa tumemlipia ada?unazungumzia ada gani kwanza? kwani kasoma hata hivyo vyuo?kwa nini afoji vyeti na kudanganya?
 
muulizeni na ikiwezekana mfanyeni mnavyotaka.

Masababiki wa Simba hii issue ya Manara imewaumiza kweri-kweri 🤣 🤣 🤣
Yaani ni vile tu waandishi takataka wako kwenye payroll ya wale jamaa ila huyu mwepesi sana kwenye interview natamani siku mwandishi amuulize majina ya vyuo alivyosoma kuhusu mashabiki wa simba,no, matter of fact is, tunashukuru uchafu umejitenga
Ila sababu yeye ni bingwa wa kuamrisha na kufyatukia wenzake sasa tuna deal naye pia JINO KWA JINO
 
swali la kijinga kabisa wakati tunadai vyeti vya bashite tulikuwa tumemlipia ada?unazungumzia ada gani kwanza? kwani kasoma hata hivyo vyuo?kwa nini afoji vyeti na kudanganya?
Waliokuwa wanataka vyeti vya bashite wapumbav kama wewe,na bashite vyeti alikuwa anavyo sasa atakuoneshaje wewe na Gwajima nyie akina nani kwani?

Unataka uone vyeti vya wewe mzazi au muajiri kitengo?
 
kuna ubaya akionyesha hadharani hivyo vyeti maana kila siku yeye ni kuiamrisha simba ionyeshe billions 20..na mimi nataka atoe hivyo vyeti tuone au ataje majina ya vyuo na mwaka
uvione kwani wewe ni nani ? mfuate nyumbani kama unataka kuona vyeti.
 
Kila siku wewe ni kujifanya kutoa amri na ultimatum kwenye media,wewe kikaragosi ni wa kutoa amri kwa simba au MO? kila siku ukihojiwa kazi yako kudanganya ulisoma mass comm south africa na advanced diploma ya siasa china
I CHALLENGE you toa vyeti hadharani tuone AU TAJA MAJINA YA VYUO NA MWAKA ULIOSOMA

Kipindi TFF wanataka kukazia ma afisa habari wawe wamesomea ulianza kuaga kabisa mapema na kulialia ukijua Gift macha anachukua nafasi yako sababu yeye ana degree ya SAUT kina Try again wakakutetetea uendelee kubaki kumbe walikuwa wanafuga joka bila kijujua wamekuja kustuka too late

*** NARUDIA TENA WEWE MANARA AU MSUKULE KAMA ULIVYOITWA NA NUGAZ TOA VYETI HADHARANI AU WEKA MAJINA YA VYUO NA MWAKA ULIOSOMA SOUTH AFRICA NA CHINA***MUONGO MKUBWA WEEEEEE

Nikiripoti toka kurasini bandarini ni mimi Nzagambadume a.k.a Mzee TOZI , mzee M BAD kabisa kiboko ya majitu yenye tamaa za pesa,wazee wa bandari meli hiyooooo pooooooh
****************** **********

View attachment 1921053
Mambo ya mpira na vyeti wapi na wp bana!!?
mbona unakuwa mshamba!!!
messi hata darasa hana
 
swali la kijinga kabisa wakati tunadai vyeti vya bashite tulikuwa tumemlipia ada?unazungumzia ada gani kwanza? kwani kasoma hata hivyo vyuo?kwa nini afoji vyeti na kudanganya?
kufoji ni kosa la jinai, nenda kituo cha polisi kilicho karibu utoe taarifa.
 
Mfano Elon Musk anaajiri watu kwa kuangalia uwezo wao haijalishi una cheti au hauna, kuna fani sikuhizi watu hawaangalii una cheti au hauna watu wanaangalia uwezo wako wa kukamilisha jambo na kupata matokeo chanya. Unaweza kusoma mass communication, pr, etc Ila ukashindwa ku deliver kama manara. Otherwise achunge tu maneno yake yasiwe ya kuvunjia watu heshima.
 
Mambo ya mpira na vyeti wapi na wp bana!!?
mbona unakuwa mshamba!!!
messi hata darasa hana
Mpuuzi weewe hujui kwamba sheria za TFF zinasema maafisa habari wawe qualified?hujui hata makocha wa mpira wanahitaji vyeti?
No wonder kazi ya u afisa habari imeonekana ni ya wachambaji, hopeless kabisa,eti mess darasa hana umesikia vyeti ni kwa ajili ya wachezaji?
 
Mfano Elon Musk anaajiri watu kwa kuangalia uwezo wao haijalishi una cheti au hauna, kuna fani sikuhizi watu hawaangalii una cheti au hauna watu wanaangalia uwezo wako wa kukamilisha jambo na kupata matokeo chanya. Unaweza kusoma mass communication, pr, etc Ila ukashindwa ku deliver kama manara. Otherwise achunge tu maneno yake yasiwe ya kuvunjia watu heshima.
Tufanye ni kweli,sasa kwa nini mnamtetea sana asitoe vyeti unaonaje akatoa vyeti hadharani au kutaja majina ya vyuo alivyosoma?mbona simple sana
 
Back
Top Bottom