awe na vyeti au asiwe na vyeti, hilo halina uzito, tunachojali ni kwamba tunaona kwa macho yetu kazi anaiweza kuzidi msemaji yeyote aliewahi kutokea hapa bongo , wapo waliosomea phd za haya mambo lakini kwenye kazi hawafikii hata robo uwezo wa DE LA BOSS MANARA.
--Manara ndie msemaji anaelipwa mno, milioni 9 kwa mwezi, huu ni mshahara wa miezi miwili ama mitatu ya mwalimu wa chuoni, hapohatujagusia mpunga anaopokea kwenye ubalozi wa azam, gsm na asas, pesa iliyokuwa inamtunza zaidi kuzidi ule mshahara wa laki 7
-Manara ndie msemaji anaekera zaidi upinzani lakini cha ajabu wanaendelea kumfollow hawataki kumu unfollow 😀 😀
--Manara ndie msemaji anaeweza kufanya promo za kujaza dimba,
--Manara ndie msemaji anaeweza kuukera upinzani kwa kiwango cha juuu (kuwakera, maneno ya shombo, kebehi, n.k. ) leo hii tayari mtu akisema "KOLO" picha inakuja ya simba