Manara acha uongo, weka vyeti hadharani au toa majina ya vyuo

Mkumbushe basi sukule kwamba leo alhamisi atupe TBT flani basi ya picha za vyuoni China na south africa
Najaribu kuvuta kumbukumbu kama alishawahi kuulizwa swala vyeti alipokuwa makolokolo FC ambapo alifanya kazi aka 7 tena alipendwa kweli kweli...

Kama hili la vyeti halikuwa tatizo alipokuwa Makolo FC wewe ni wakupuuzwa.
 
Najaribu kuvuta kumbukumbu kama alishawahi kuulizwa swala vyeti alipokuwa makolokolo FC ambapo alifanya kazi aka 7 tena alipendwa kweli kweli...

Kama hili la vyeti halikuwa tatizo alipokuwa Makolo FC wewe ni wakupuuzwa.
Mkuu kama upo naye karibu muambie leo alhamisi apost hata logo ya hivyo vyuo basi kama vyeti havipo
 
Mkuu kama upo naye karibu muambie leo alhamisi apost hata logo ya hivyo vyuo basi kama vyeti havipo
Anakwambia hajawahi kuulizwa vyeti na hatowahi kuulizwa vyeti timu yoyote atakayotaka kufanya kazi...ikiwemo MAKOLO FC
 
Sasa Manara anawakilisha mini?! Yaani kuzaliwa uzaramuni na kujua kuongea maneno mengi kwa haraka yasio na mpangilio ndio kuwa na uwezo?!watanzaniat wengi ni wapumbavu
 
awe na vyeti au asiwe na vyeti, hilo halina uzito, tunachojali ni kwamba tunaona kwa macho yetu kazi anaiweza kuzidi msemaji yeyote aliewahi kutokea hapa bongo , wapo waliosomea phd za haya mambo lakini kwenye kazi hawafikii hata robo
Mkuu, sio suala la kuwaona, ni suala la kisheria. Sheria ilipopitishwa, serikali ilitoa miaka 5 waandishi wasio na walau diploma waende wakasome, na ukomo wa kipindi hicho ni Desemba mwaka huu 2021. Baada ya hapo mtaona watu watakapokuwa wanapukutika, sehemu yoyote yenye kuhitaji mtu anayeitwa 'mwandishi wa habari' lazima akae mtu mwenye Diploma na zaidi ya uandishi wa habari
 
Makolo wana gubu sana...manara mlifukuza...mlifikiri atakufa njaa au awe omba omba.... Mwacheni mtoto wa watu afurahie maisha... Mleta hoja nenda mahakamani, ukadai hayo makaratasi...
 
Elimu ya Manara inakuhusu nini watu wanacheza na kipaji alichonacho.Wivu unakusumbua,Babra knawatumia sana kushusha heshima ya Manara inaonekana mnalipwa posho kumtengenezea Manara majungu na kumshusha heshima kwa jamii.Acha hizo wewe, Ama kweli Njaa mbaya sana
 
Hakuna na hayupo mfanyabiashara mpumbavu atakae weza kumlipa Manara zaidi ya 2 millions!!!....Kwa Hali inavyoenda tutaanza kuongelea Manara badala ya Yanga ni aibu Kwa mashabiki na wanachama wa Yanga badala waongelee Team Yao,wapo wanaongelea mtu tena kisa kagombana na mwaajiri wake wa awali ni aibu kuu hii
 
Hamna hata picha za graduation mkuu?
 
Wivu huo ulitaka uajiriwe wewe.
 
Sema wewe ndio huwezi mkuu, bando lenyewe hilo umetembea kilometa nzima kwenda kutumia wifi ya bure πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Milioni 9si ktu kabisa kwa Bakhresa huyu aliyeanza kusaidia kila timu ya ligi kuu milioni 50 kila mwezi kwa miaka 10 mfululizo
 
hahaha, Makolo mmenzibuliwa kweli kweli hadi mnchanganyikiwa, kwa hio manara saizi kawa wandishi wa haari ehhh πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Manara anawapumulia kweli kweli
 
Anasaidia kila timu ya ligi kuu?! Ndivyo alivyokuambia wakati umeinana chuma mboga?
 
--Manara ndie msemaji anaeweza kuukera upinzani kwa kiwango cha juuu (kuwakera, maneno ya shombo, kebehi, n.k. ) leo hii tayari mtu akisema "KOLO" picha inakuja ya simba

Hakuna Jina litakuja kulipiku UTOPOLO kamwe,yani UTO kama UTO ipo juu,hayo mengine mnajifurahisha tu baada ya muda mchache yanapotea,but UTOPOLO litabaki kuwa juu.
 
Hakuna Jina litakuja kulipiku UTOPOLO kamwe,yani UTO kama UTO ipo juu,hayo mengine mnajifurahisha tu baada ya muda mchache yanapotea,but UTOPOLO litabaki kuwa juu.
hakuna jina lililozoeleka ndani ya muda mfupi kama kolo πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ haiji kutokea tena hii,
 
Sema wewe ndio huwezi mkuu, bando lenyewe hilo umetembea kilometa nzima kwenda kutumia wifi ya bure πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Milioni 9si ktu kabisa kwa Bakhresa huyu aliyeanza kusaidia kila timu ya ligi kuu milioni 50 kila mwezi kwa miaka 1
Twende kwenye uhalisia tuache ushabiki!!.. unadhani kila anae andika humu ni masikini hebu panua ubongo wako!!.. unadhani 9 millions per Month ni kama fedha unayopewa kusafishwa huo mtaro wako mchafu!!..au ndio kama kumnunulia chupi Mama yako!!..Uwe unatuliza mtaro wako mchafu huko sio kila anaendika hapa kakosa akili kama Baba yako huko anaacha mtoto unakua kama punguani!!..Fikiria wakati mwengine!!!
 
Wivu huo ulitaka uajiriwe wewe.
Angalia uchumi wetu ukoje?!!..kama huyu anaweza kulipwa fedha hiyo Kwa uchumi dhaifu namna hii inawezekana!!??..Au unadhani analipwa Kwa viwango vya serikali ya wapi?!!..Au ushabiki ndio unalipa?!.. unadhani viongozi wa Yanga ni Nani analipwa fedha hiyo?!!..Kama mchezaji ghari wa Yanga halipwi 10 millions itakuaje!!..Fikiria mbali zaidi!!..GSM anawezaje kumlipa Fedha hiyo wakati ana madeni lukuki na wafanyakazi wake wanalia ukata!!..Au twendelee na Ushabiki tu!!!
 
hahaha, Makolo mmenzibuliwa kweli kweli hadi mnchanganyikiwa, kwa hio manara saizi kawa wandishi wa haari ehhh πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Manara anawapumulia kweli kweli
Nafasi ya afisa habari au Mkuu wa Kitengo cha Habari inahitaji sifa ya kuwa mwandishi wa habari. Kumbuka Mkuu wa Kitengo cha Habari anasimamia audio, video, TV, social media (instagram, facebook, twitter, website etc), sasa angalia vitu vyote hivi, kwa vyovyote vinahitaji mtu mwenye taaluma, sio kipaji tu cha kuongea.
 
mbona haya maswala mlikua hamuullizi alivyokua Simba??
Hukumbuki yeye mwenyewe amesema kazi ya kwanza aliyopewa Senzo wakati anaingia Simba ilikuwa ni kumuondoa Manara? Tafsiri yake ni kwamba taaluma yake ilikuwa questionable tangu akiwa Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…