Nafasi ya afisa habari au Mkuu wa Kitengo cha Habari inahitaji sifa ya kuwa mwandishi wa habari. Kumbuka Mkuu wa Kitengo cha Habari anasimamia audio, video, TV, social media (instagram, facebook, twitter, website etc), sasa angalia vitu vyote hivi, kwa vyovyote vinahitaji mtu mwenye taaluma, sio kipaji tu cha kuongea.