Manara adai hakuna wa kumuua Makonda labda afe kwa 'stress' zake mwenyewe. Amtaka awaombe msamaha watanzania kwa dhulma

Huyu
Manara anayefanya biashara ya kuoa na kuacha anapata wapi ujasiri wa kumsema vibaya makonda. Hana uadilifu kijamii au kiroho kumsema makonda.
 
Huyu

Msnara ansyefanya biashara ya kuoa na kuacha anapata wapi ujasiri wa kumsema vibaya makonda. Hana uadilifu kijamii au kiroho kumsema makonda.
Haoi bali huwa anafanya biashara ya kutakatisha fedha, yaani iko hivi: Anatangaza kuoa, anaitisha michango, hivyo michhango yeye inakotoka hana haja ya kupajua maana hata nje ya nchi etc, so wauza madawa, etc mafisadi wana mchangia hela kibao, then hizo kwake ni legitimate money kabisa, kinachofuata sasa yeye ni kuingiza hela kwenye mfumo lasimi then baada ya hapo anawarudishia hao wenye mzigo na demu naye anakula chake ila baada ya hapo wanazinguana na maisha yanaendelea
 
Story za vijiweni.
 
MAKONDA DHAMBI ZAKE ZITAMSULUBU NA KUWEKWA HADHARANI AKIONDOKA ANAYEMLINDA

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Hahaha
 
huwa sielewi hata siku moja kwanini ccm na mama wamemrudisha huyu kijana kwenye siasa za kudhalilisha watu, jana kamjibu hadi attorney general, yaani bashite asiyeenda hata shule anataka watu waende kwake badala ya kwenda mahakamani. hivi kweli Tanzania tuna uhaba wa viongozi hadi bashite aongoze watu? kweli?
 
Manara Asante sana kwa kuwa na Tabia za kisukuma, msukuma Bora umuue kuliko kinyesi chake kichanganyike na mtu mwingine ndio maana hachimbi choo na akichimba anakuachieni yeye porini na jiwe lake la kuchambia
 
Mara elfu kumi Manara na kuoa kwake.
Huwezi kulinganisha tabia binafsi za Manara na za huyu Makonda ambae aliumiza wengi sana !
Aliumiza kivipi, ..mbona hamuweki wazi. Si nyie ndio mlikua wauza madawa kazi kulia uongo huku nyie ndio mliumiza vibaya vijana kwa biashara yenu ya madawa. Saa hizi mnachekelea mama kawaacha muendelee na biashara yenu chafu. Wabinafsi wakubwa nyie mlaaniwe kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…