Manara alitumia sana ulemavu wake kama kinga

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Tangu Simba haguswi, sikupenda kabisa simba tuwe na msemaji kama huyu anayezungumzia wapinzani kila saa na vijembe kwani inaleta taharuki kwa mashabiki wakati yeye anahurumiwa kutokana na maumbile yake.

Mnakumbuka alivyomtukana Mwakalebela na tumbo lake, ajibiwe yeye basi mtu atafungiwa au atalalamika kaonewa kwa ajili ya ulemavu, watu wote haki ni sawa.

Atumikie au akate rufaa ila asisingizie ngozi yake wengine wana ukilema hata kutembea hawawezi sembuse yeye mzima na mvuta bangi?

By the Way rufaa ya Yanga ni ya kejeli ili kumsukumia zaidi ili afungiwe kimaisha,kwani nani amekuambia Yanga wote wanampenda?
 
Alifungiwa miaka 7 na Malinzi Karia akamfutia adhabu
 
Umeona ulichoandika lakini?

Ebu maliza kazi zako kwanza kisha kaa kwa utulivu uandike vizuri.
Yanga wamesema wanamuunga mkono Manara kudai haki yake kwenye mamlaka kubwa zaidi ya hapo

Wakimaanisha wako naye bega kwa bega kukata rufaa

Na ndio maana nimesema kwa hilo nawatabiria kufeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…