Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Tangu Simba haguswi, sikupenda kabisa simba tuwe na msemaji kama huyu anayezungumzia wapinzani kila saa na vijembe kwani inaleta taharuki kwa mashabiki wakati yeye anahurumiwa kutokana na maumbile yake.
Mnakumbuka alivyomtukana Mwakalebela na tumbo lake, ajibiwe yeye basi mtu atafungiwa au atalalamika kaonewa kwa ajili ya ulemavu, watu wote haki ni sawa.
Atumikie au akate rufaa ila asisingizie ngozi yake wengine wana ukilema hata kutembea hawawezi sembuse yeye mzima na mvuta bangi?
By the Way rufaa ya Yanga ni ya kejeli ili kumsukumia zaidi ili afungiwe kimaisha,kwani nani amekuambia Yanga wote wanampenda?