Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Nachojua mm manara kaja pale kama mc wa shughuli tu, na mechi ya Leo sio ya tff ni yanga wanasherehekea na kutambulisha wachezaji wao ,,hivyo hii mechi tff haiwahusu nachojua manara baada ya kumaliza ka UMC ameenda zake,,bodi ya ligi iwe makini na mihemuko ya watu wenye chuki binafsi na manara ,huyu mtu hachezi Mpira uwanjani Wala hayumo kwenye uongozi wa juu wa klabu ,yeye ni msemaji wa klabu na amefungiwa usemaji wa yanga sio umc