Hata Shafie haumuoni akijihusisha na NDONDO CUP!Nachojua mm manara kaja pale kama mc wa shughuli tu, na mechi ya Leo sio ya tff ni yanga wanasherehekea na kutambulisha wachezaji wao ,,hivyo hii mechi tff haiwahusu nachojua manara baada ya kumaliza ka UMC ameenda zake,,bodi ya ligi iwe makini na mihemuko ya watu wenye chuki binafsi na manara ,huyu mtu hachezi Mpira uwanjani Wala hayumo kwenye uongozi wa juu wa klabu ,yeye ni msemaji wa klabu na amefungiwa usemaji wa yanga sio umc
Nyie ndiyo maadui wakubwa wa Haji Manara,hamtaki kumwambia ukweli bali mnapa sifa za kijinga na kumjaza upumbavu. Hivi shughuli ya leo kwa Mkapa ilikuwa ya jando na unyago?Nachojua mm manara kaja pale kama mc wa shughuli tu, na mechi ya Leo sio ya tff ni yanga wanasherehekea na kutambulisha wachezaji wao ,,hivyo hii mechi tff haiwahusu nachojua manara baada ya kumaliza ka UMC ameenda zake,,bodi ya ligi iwe makini na mihemuko ya watu wenye chuki binafsi na manara ,huyu mtu hachezi Mpira uwanjani Wala hayumo kwenye uongozi wa juu wa klabu ,yeye ni msemaji wa klabu na amefungiwa usemaji wa yanga sio umc
Hamjui mtajua tuNachojua mm manara kaja pale kama mc wa shughuli tu, na mechi ya Leo sio ya tff ni yanga wanasherehekea na kutambulisha wachezaji wao ,,hivyo hii mechi tff haiwahusu nachojua manara baada ya kumaliza ka UMC ameenda zake,,bodi ya ligi iwe makini na mihemuko ya watu wenye chuki binafsi na manara ,huyu mtu hachezi Mpira uwanjani Wala hayumo kwenye uongozi wa juu wa klabu ,yeye ni msemaji wa klabu na amefungiwa usemaji wa yanga sio umc