Smt016
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,012
- 4,300
Wewe ni shabiki wa Yanga ambaye Manara alikuwa anawasemea hawana akili au mahaba na Yanga yanakufanya utete hata upuuzi. Manara ameitia doa sana mpaka mimi kama shabiki wa Yanga nilijisikia aibu. Kafanya makosa mengi sana ikiwepo kudili na mambo yasiyo husika na shughuli kwa kulazimisha Mobeto aje kwenye utambulisho, katoka sana kwenye kutozingatia itifaki watu wanamweka sawa yeye analazimisha hili ni kujiona ni mkubwa ndani ya taasisi ya Yanga eti siondoki mpaka sijui fulani aje. Kapoteza sana muda jana kwa mambo yake ya ovyo na ujinga.Manara ni fundi wa hizi kazi Ana kipaji cha pekee Watanganyika Kwa wivu wao wanajiinua mmoja Moja ili kumvunja moyo.
Tuache wivu, Manara ndo best spokesman katika football, Ally Kamwe hawezi kufikia level ya Manara hata robo, japo anafanya vyema.
Maadui msijifanye kumrudisha nyuma, wakati kazi yake hakuna anaeweza Fanya