Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Kuna clip Manara akiwa kwenye Press ya Yanga jana wakiwa meza moja na Bumbuli kabla press haijaanza wakawa wanaongea bila kujua wanarekodiwa.
Manara: Nini hiki?
Bumbuli: Hawa si ndo wadhamini wetu?
(Maji afya).
Manara 😀uh huu mtihani kwangu (yeye balozi wa maji ya uhai)
Bumbuli: anacheka
Manara: Wana mkataba hadi lini?
Bumbuli: bado wanao
Manara: wanatoa hela yote na nzuri?
Bumbuli: Aaah kawaida tu(Bumbuli ananong'oneza "tupo live tunachukuliwa")
NB: Manara anarudia alichokuwa anakifanya Simba, kwenye press ya Simba alikuwa anatoa bidhaa za Mo ambaye ni mdhamini wa Simba kwa vile yeye anatangaza bidhaa za Azam maji ya uhai.
Jana Press ya Yanga hataki bidhaa za afya ambao ni wadhamini wa Yanga kwa vile yeye anatangaza maji ya Uhai,labda mkataba wake unazuia kwa vile ni balozi lakini inaleta mkanganyiko kutoa bidhaa za mdhamini wa club kwenye press ya club kisa we ni balozi wa kampuni nyingine.Halafu hapo hapo anauliza wanatoa hela yote na nzuri ?Manara haipendi Yanga anaangalia maslahi yake.
Manara analeta mgongano wa maslahi kwenye club ya Yanga ni suala la mda tu.
===