Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Nimejikuta tu nimecheka, halafu nikakumbuka uzi wa mwana Yanga mmoja aliyetoa nyongo kuhusu ubabaishaji wa waendeshaji wa timu yetu ya Yanga. Naona dalili ya moto kuwaka maana saivi moshi unafukuta ndani kwa ndani. Itokee tu matokeo mazuri uwanjani ndio dawa ya kufunika kombe. Ila endapo Yanga itakuwa na matokeo mabaya basi Manara atakuwa na wakati mgumu sana Yanga. Smt016 pitia huku Manara tayari kachafua hali ya hewa
Bora wewe unaukubali ukweli,wenzio hawataki kabisa ku admit kama ni swala la muda tu kabla ya moto kulipuka.