Manara anajiona mungu mtu kwenye mpira wa Tanzania.

Nawasalim kwa jina la jamhuri wa muungano wa Tanzania. Aliyesema mungu si athumani hakukosea maana angekuwa athumani wengine wangekosa riziki maana angelipiza kisasa kwa maadui zake.

Duniani mungu katuumba watu tofauti tofauti na nguzo kuu ya mwanadamu yoyote lazima afanye makosa ndio maana wahenga walisema hakuna mkamilifu ila hali hyo ni tofauti kwa aliyekuwa msemaji wa simba na kuhamia yanga baada ya kufungiwa kujihusisha na michezo.

Manara anajiona hakosei yaani anajiona kama mungu mtu kwenye mpira kwasababu zifuatazo:–

1.Alipewa adhabu na TFF ya kutoshiriki shughuli zozote za mpira lakini alikaidi na akawa MC kwenye tamasha la yanga day.

2.Manara anajiona yeye yupo sahihi kwa kila kitu na atakaye leta wazo au maoni tofauti basi ataanzisha naye vita bila kuangali ni nani na ana nafasi gani kwenye jamii.

3.Manara alishawahi kugombana na maulidi kitenge kipindi yupo simba akatukanana na prisca kishamba kwa tofauti zao za kimtazamo dhidi ya simba,
Haikutosha akagombana na Ali kamwe pamoja na jemedari saidi sasa hivi ameanzisha vita na geff lea kisa kutoa maoni yake dhidi ya mayele.

4.Alipoachana na mke wake alitakata kuitisha press conference ili aelezee nini kilitokea mpaka mke wake akamkimbia Dubai lakini,
wakubwa wakamsihi akatulia mpaka leo hapatani na Steve nyerere kwasababu alimcheka alivyokimbiwa na mke akataka kuitisha press conference.

5.Karibuni kumeibuka taarifa za GSM kuwa na kadi ya simba na ni mshabiki wa simba lakini matokeo yake amemchamba aliyeleta ile habari na huko nyuma alishawahi kuingilia ugomvi wa makonda na GSM.

6.Alipo ondoka simba akaanza kumtukana na kumkejeli aliyekuwa CEO wa wakati huo babra Gonzalez na muwekezaji wake MO dewji tena matusi ya nguoni bila sababu za msingi.

7.Anachokitaka na kukipenda yeye basi mwingine asipinge akienda naye tofauti basi ataoga kichambo na matusi kama anavyofanya kwenye mitandao ya kijamii kwenye post zake.

8.Ukitaka upatane nae manara uwe chawa wake na kila anachosema yeye ukubali hapo mtaenda sawa otherwise utaoga matusi na kichambo mwanaume anachamba kama mange kimambi ndio mtu pekee anayeweza kushindana nae.

9.Duniani kote tetesi zinaruhusiwa ziwe za ukweli au za uongo isipokuwa team anayoshabikia manara kipindi yupo simba taarifa zilipotoka za muhummed Hussein, anatakiwa na yanga aliwatukana wachambuzi na juzi wakati yupo yanga taarifa zote za usajili alizipiga vita na kuwatukana pamoja na kuwakejeli wachambuzi.

10.Manara yeye anajiona mjanja na mtoto wa mjini kuliko kiumbe yoyote anayeishi dar na ana mshambulia mchambuzi yoyote na kuwaita wakuja hawajui kitu kwenye football kama anavyomtukana jemedari said kweli jamaa kaota mapembe.

NB:Manara anajiona soka la Tanzania bila yeye haliendelei na viwanja havijazi bila nguvu yake yeye that's nonsense perception from ignorance person like him.

Sent using Jamii Forums mobile app
ni wapi manara kasema yeye ni mungu au ni udwanzi wako?
 
Nyie si ndiyo mmepandisha

Na kuwa hapo leo

Ova
 
Manara kazidi anaenda mpaka kwenye personal life alimwambia kitenge ana basha wake yuko marekani ndio maana kila wakati anaenda huko.
Hakuna mtu asiyemjua Manara.., mm nashida na hao wachambuzi mchwara.
 
Tatizo la manara ni mlemavu wa ngozi ndo mana anakuwa hajiamini anaamua kutukana watu kujirinda
 
Manara kazidi anaenda mpaka kwenye personal life alimwambia kitenge ana basha wake yuko marekani ndio maana kila wakati anaenda huko.
Acha ukuda mbona na wewe unamuongelea?
 
Sijawahi kuelewa Yanga tulikuwa na shida gani ya kiasi hicho hadi kumchukua Morison na Manara
 
Umungu mtu upo kwenye kupinga mawazo ya watu wengine na kuwatukana.
huo sio u mungu mtu,kwa maelezo hayo uliyosema ni majivuno,dharau na mtu mwenye mdomo mchafu,kama hujui lugha acha kusema
 
Nawasalim kwa jina la jamhuri wa muungano wa Tanzania. Aliyesema mungu si athumani hakukosea maana angekuwa athumani wengine wangekosa riziki maana angelipiza kisasa kwa maadui zake.

Duniani mungu katuumba watu tofauti tofauti na nguzo kuu ya mwanadamu yoyote lazima afanye makosa ndio maana wahenga walisema hakuna mkamilifu ila hali hyo ni tofauti kwa aliyekuwa msemaji wa simba na kuhamia yanga baada ya kufungiwa kujihusisha na michezo.

Manara anajiona hakosei yaani anajiona kama mungu mtu kwenye mpira kwasababu zifuatazo:–

1.Alipewa adhabu na TFF ya kutoshiriki shughuli zozote za mpira lakini alikaidi na akawa MC kwenye tamasha la yanga day.

2.Manara anajiona yeye yupo sahihi kwa kila kitu na atakaye leta wazo au maoni tofauti basi ataanzisha naye vita bila kuangali ni nani na ana nafasi gani kwenye jamii.

3.Manara alishawahi kugombana na maulidi kitenge kipindi yupo simba akatukanana na prisca kishamba kwa tofauti zao za kimtazamo dhidi ya simba,
Haikutosha akagombana na Ali kamwe pamoja na jemedari saidi sasa hivi ameanzisha vita na geff lea kisa kutoa maoni yake dhidi ya mayele.

4.Alipoachana na mke wake alitakata kuitisha press conference ili aelezee nini kilitokea mpaka mke wake akamkimbia Dubai lakini,
wakubwa wakamsihi akatulia mpaka leo hapatani na Steve nyerere kwasababu alimcheka alivyokimbiwa na mke akataka kuitisha press conference.

5.Karibuni kumeibuka taarifa za GSM kuwa na kadi ya simba na ni mshabiki wa simba lakini matokeo yake amemchamba aliyeleta ile habari na huko nyuma alishawahi kuingilia ugomvi wa makonda na GSM.

6.Alipo ondoka simba akaanza kumtukana na kumkejeli aliyekuwa CEO wa wakati huo babra Gonzalez na muwekezaji wake MO dewji tena matusi ya nguoni bila sababu za msingi.

7.Anachokitaka na kukipenda yeye basi mwingine asipinge akienda naye tofauti basi ataoga kichambo na matusi kama anavyofanya kwenye mitandao ya kijamii kwenye post zake.

8.Ukitaka upatane nae manara uwe chawa wake na kila anachosema yeye ukubali hapo mtaenda sawa otherwise utaoga matusi na kichambo mwanaume anachamba kama mange kimambi ndio mtu pekee anayeweza kushindana nae.

9.Duniani kote tetesi zinaruhusiwa ziwe za ukweli au za uongo isipokuwa team anayoshabikia manara kipindi yupo simba taarifa zilipotoka za muhummed Hussein, anatakiwa na yanga aliwatukana wachambuzi na juzi wakati yupo yanga taarifa zote za usajili alizipiga vita na kuwatukana pamoja na kuwakejeli wachambuzi.

10.Manara yeye anajiona mjanja na mtoto wa mjini kuliko kiumbe yoyote anayeishi dar na ana mshambulia mchambuzi yoyote na kuwaita wakuja hawajui kitu kwenye football kama anavyomtukana jemedari said kweli jamaa kaota mapembe.

NB:Manara anajiona soka la Tanzania bila yeye haliendelei na viwanja havijazi bila nguvu yake yeye that's nonsense perception from ignorance person like him.

Sent using Jamii Forumbs mobile app
Kiboko yake ni jerry muro slimuita zeruzeru akalia kama mtoto
 
Jina lake umeliandika vizuri. Lakini hiyo mungu umeikosea. Ndio ilivyo mkuu Kipato huleta majivuno. [emoji1] Anaringa sana huyu Mwamba, leo mida ya saa 7 mchana kwenye gari yake Benzi E 250 nyeupe barabarani pale Morocco Wamachinga wanamsalimia na kumpa salam jamaa kajikausha tu na vioo vya gari akapandisha juu.
Anajisikia mno huyo kiumbe ,angezaliwa familia ya Mo au Bakhresa hahaha tungehama nchi
 
Alimfitini Antonio Nugaz wape salam hadi GSM wakasitisha kuendelea naye. Mnoko sana yule umbwa.
Alishawahi kuandika gazeti refu anataka majay amfukuze jemedari, akapuuzwa. Baadaye akaona bora aanze kuponda EFM tu na kaiponda kweli.
 
Back
Top Bottom