Manara anajiona mungu mtu kwenye mpira wa Tanzania.

Kwa jinsi alivyo Haji Manara sidhani kama kuna mtu anaweza kumuamini kiasi cha kumfanya mtu wake wa karibu na kumuweka wazi mambo yake ya msingi.
Hata Gsm na kina Hersi nafikiri wanaishi nae kitaalam sana.

Maana ukimpa nafas Haji manara akujue vizuri ujue siku mkitofautiana na akashindwa kupata maslahi kutoka kwako ujue atakudhalilisha.

Tabia ya Mbwa ni kuwa ukimlisha vizuri akiona Kuna mtu anakusogelea ataanza kubweka , kwahiyo matajiri wanamtumia manara kama huyo mnyama wanamlisha kwa kujua ataifanya vizuri kazi ya kubweka.

ila ninauhakika wanaishi nae kwa tahadbari maana hata wao walishawahi kubwekewa na mbwa huyu pindi alipokua anafugwa na mtu mwingine
 
Linapokuja suala la kutetea tumbo lake haji Manara hana dogo anaweza kujitoa ufahamu na kufanya lolote
 
Alimfitini Antonio Nugaz wape salam hadi GSM wakasitisha kuendelea naye. Mnoko sana yule umbwa.
Alishawahi kuandika gazeti refu anataka majay amfukuze jemedari, akapuuzwa. Baadaye akaona bora aanze kuponda EFM tu na kaiponda kweli.
Jamaa ana roho mbaya sana na ni mision town pro max.

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Inawezekana ni kweli, maana umechukua mda mrefu sana kumuelezea, sisi tunaojua hana lolote hata jina lake hatutaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…