What's the problem?What's the problems
Lakin mbona mashabiki Wa simba wanaonewa sana mkuujamaa anaongozwa na mihemko ndo tatizo, anataka kujiona yeye ni mkubwa kuliko simba kitu ambacho si kweli.. Akiambiwa ukweli anatoka povu balaa, anavyobwatuka vile sijui kama ana baraka za uongozi... Hamna shabiki atakaekaa kimya timu ikivurunda!
Dah kikrsto mkuu kimalikia hicho we acha tuWhat's the problem?
What're the problems?
Tunajifunza kila siku mkuu. Usijali
Alhaji Ismail Aden Rage alipowaita mbumbumbu nilisema lisemwalo lipo, Kama halipo linakuja. Nahisi lilikuwepo na limeshakuja tayari maana kiongozi mwingine mwandamizi kawaida Wapumbavu ambalo msamaha yake ni mbumbumbu..Lisemwalo lipo kama halipo laja!
[emoji23][emoji23][emoji23]Alhaji Ismail Aden Rage alipowaita mbumbumbu nilisema lisemwalo lipo, Kama halipo linakuja. Nahisi lilikuwepo na limeshakuja tayari maana kiongozi mwingine mwandamizi kawaida Wapumbavu ambalo msamaha yake ni mbumbumbu..
Leo nithibitisha bila Shaka kuwa hii timu yetu ni mbumbumbu FC aka Wapumbavu fc
Sent using Jamii Forums mobile app
Mo alisema simba ni mke wake
Ok hapo sawa kumbe ni hasira tuHiyo kauli aliitoa akiwa na hasira
Sawa tajirUmasikini wenu wa kipato ndio unaowadhalilisha na kuwatesa!!
Walikuwa kwenye mkutano Rage hayupo kawaambia walikuwa kwenye kikao cha Kitchen partyAlhaji Ismail Aden Rage alipowaita mbumbumbu nilisema lisemwalo lipo, Kama halipo linakuja. Nahisi lilikuwepo na limeshakuja tayari maana kiongozi mwingine mwandamizi kawaida Wapumbavu ambalo msamaha yake ni mbumbumbu..
Leo nithibitisha bila Shaka kuwa hii timu yetu ni mbumbumbu FC aka Wapumbavu fc
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo ukweli ni Wapumbavu FC, aka Mbumbumbu FC, aka Mikia FC.Aman iwe juu yenu
Je ni kweli simba ni wapumbavu kama alivyosema manara au hasira tu
Tunakumbuka miaaka ya nyuma mwenyekiti Wa simba alisema simba ni mambumbumbu AKA mashibhumbu
Je ni kweli simba ni wapumbavu na mambumbubu?
Kwanini viongoz Wa simba wanawakosea heshima shabiki zao had kuwaita majina mabaya
Na kwanini dauda naye kaiita simba ni underdog
What's the problems
LONDON BOY
Sent using Jamii Forums mobile app
We vipi? Kwani wenyewe wamebisha?Lakin mbona mashabiki Wa simba wanaonewa sana mkuu
Mo alisema simba ni mke wake
Manara naye kawaita wapumbafu Je ni wapumbafu kweli au
Sent using Jamii Forums mobile app