Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni kweli MASHABIKI WANAONEWA, HAMNA SHABIKI ANAEPENDA TIMU YAKE KUFANYA VIBAYA......KUWAITA WAPUMBAVU NI HASIRA ZAKE ILA KAMA ANAMAANISHA MMMHHHHLakin mbona mashabiki Wa simba wanaonewa sana mkuu
Mo alisema simba ni mke wake
Manara naye kawaita wapumbafu Je ni wapumbafu kweli au
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mtu akiwa na hasira ndio anaongea ya moyoni.Hiyo kauli aliitoa akiwa na hasira
this is simba... this is simbaaaaaaaa this is simbaa.?Aman iwe juu yenu
Je ni kweli simba ni wapumbavu kama alivyosema manara au hasira tu
Tunakumbuka miaaka ya nyuma mwenyekiti Wa simba alisema simba ni mambumbumbu AKA mashibhumbu
Je ni kweli simba ni wapumbavu na mambumbubu?
Kwanini viongoz Wa simba wanawakosea heshima shabiki zao had kuwaita majina mabaya
Na kwanini dauda naye kaiita simba ni underdog
What's the problems
LONDON BOY
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaahhaaAlhaji Ismail Aden Rage alipowaita mbumbumbu nilisema lisemwalo lipo, Kama halipo linakuja. Nahisi lilikuwepo na limeshakuja tayari maana kiongozi mwingine mwandamizi kawaida Wapumbavu ambalo msamaha yake ni mbumbumbu..
Leo nithibitisha bila Shaka kuwa hii timu yetu ni mbumbumbu FC aka Wapumbavu fc
Sent using Jamii Forums mobile app
Walau wameambulia nafasi ya 3
😁😁😁ukisha kuwa mbumbumbu alafu mpumbavu hakuna namna zaidi ya kukubali yote
Mnacomment kwenye karatasi mkuu ndani ya notebook
Unaelewa maana ya underdog?Aman iwe juu yenu