Manara anatoa wapi ujasir Wa Kuwait's simba ni WAPUMBAFU

Lakin mbona mashabiki Wa simba wanaonewa sana mkuu

Mo alisema simba ni mke wake
Manara naye kawaita wapumbafu Je ni wapumbafu kweli au

Sent using Jamii Forums mobile app
ni kweli MASHABIKI WANAONEWA, HAMNA SHABIKI ANAEPENDA TIMU YAKE KUFANYA VIBAYA......KUWAITA WAPUMBAVU NI HASIRA ZAKE ILA KAMA ANAMAANISHA MMMHHHH
 
this is simba... this is simbaaaaaaaa this is simbaa.?
msemaji wa club ya simba bwana HJI MANARA Ana matatizo kichwani kazi za usemaji sio kuzungumza sana kama kichaa wala sio kuzungumza mambo ya ufundi hayo ya kocha tubadilike
 
Hahahahaahhaa
 
Unaelewa maana ya underdog?
Unataka uwaiteje mbale ya wapinzani wao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…