Manara Apigiwa Simu na Kiongozi wa Serikali ili Oengelee Soka ili wananchi wasihoji mfumuko wa bei

Rambo man

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
243
Reaction score
364
Haji Manara amesema soka ni mchezo muhimu sana, inaweza simamisha vita, kuleta vita na hata kuwaleta watu pamoja au kubaguana. Amesema kiongozi mmoja mkubwa serikalini alimpigia simu na kumwambia aendelee kuongelea soka na kuchamba watu ili watu wasiendelee kuhoji kupanda kwa bei ya mafuta na mfumuko wa bei. Je sisi wananchi huwa tunatambua haya sana sana tunapokuwa tunadai vitu vya msingi?
 
Hivi petrol itaongezeka bei shilingi ngapi? Wiki ijayo. Kwa Hapa nilipi saivi Ni 3050Tsh/lita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…