Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haji Manara amechachamaa huko Mbeya, amewashukia vikali makocha wa Yanga na Mbeya City. Msikie mwenyewe kupitia link hii
upuuzi mtupu.Zahera anatafuta umaarufu kupitia Manara,aache haraka Haji ni high level,Haji ni msemaji wa timu kubwa
Nakiri nimekosea ni kocha wa Mbeya City ndiye aliyetajwa na Manara kuwa aliomba kazi Yanga, Naomba moderator badili kichwa cha habari kisomeke Kocha Mbeya City aliomba kumrithi Masoud.Nadhani uliyeleta uzi una ajenda ya siri dhidi ya Zahera....nimeisikiliza hiyo clip sijaona au kusikia Manara akisema kuwa Zahera aliomba kazi Simba....ila nimemsikia akisema yule kocha wa Mbeya City ndiye aliyekuwa ameomba hiyo kazi...
Timu kubwa yenye mataji mengi.. .Zahera anatafuta umaarufu kupitia Manara,aache haraka Haji ni high level,Haji ni msemaji wa timu kubwa
Uwe unatumia akili na kutulia sio kupost kama unakimbizwaNakiri nimekosea ni kocha wa Mbeya City ndiye aliyetajwa na Manara kuwa aliomba kazi Yanga, Naomba moderator badili kichwa cha habari kisomeke Kocha Mbeya City aliomba kumrithi Masoud.